The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Usijikatie tamaa ikiwa bado upo hai,endelea kupambana ili vitu vya kawaida,usiwe unaviona kua ni maajabu au ni impossible.ukaambiwa waislam wenzako wapo msikitini ukaamua ukimbilie abroad, maana ukweli mchungu ulikuzonga
Ulipaswa kua na mumeo badala ya kujibizana na wanaume mitandaoni kwa kutumia multiple IDs.ulipaswa kuwa msikitini shekhe
Mimi ni mwanaume mkuu, yaan unajifurahisha kusema mimi ni Mwanamke kuona kwamba labda itanichukiza ila hapana sipo hivyo kabisa, na siwezi kuchukia km wewe unaeamua kuchukizwa na kiumbe kidogo km Kitimoto ambacho umeambiwa kwamba unaruhusiwa kula, haukatazwi kula Kitimoto na imeandikwa kwenye Hadith na Msaafu, umeambiwa ule kwa sababu maalumu ili usife, sasa nakushangaa wewe Muislamu gani usieyajua hayo?Hata wewe hufai kua mke,umevamia tu ndoa,nampa pole sana mumeo.
Umechanganyikiwa sio bure.Ulipaswa kua na mumeo badala ya kujibizana na wanaume mitandaoni kwa kutumia multiple IDs.
hata mimi nipo abroad ndo maana nakataa wewe kwa hiyo IQ huwezi kuwa abroad. Malawi na kenya sawaUsijikatie tamaa ikiwa bado upo hai,endelea kupambana ili vitu vya kawaida,usiwe unaviona kua ni maajabu au ni impossible.
Hua unatumia kilevi gani? Maana inabidi tuanze kuhamisha magoliUsijikatie tamaa ikiwa bado upo hai,endelea kupambana ili vitu vya kawaida,usiwe unaviona kua ni maajabu au ni impossible.
hisia zinakupelekesha sanaUlipaswa kua na mumeo badala ya kujibizana na wanaume mitandaoni kwa kutumia multiple IDs.
Una mengi ya kujifunza kutoka kwa wanawake wenzako walio kwenye ndoa zao,Umechanganyikiwa kwa jambo dogo nimekwambia wenzio hawatumii hisia km wewe. Una mengi ya kujifunza kwenye Uislamu.
Kujipendekeza na kujipitisha kwa wanaume huku unatingisha kalio zako vinakupelekesha sana.hisia zinakupelekesha sana
Muulize mamako anajua kilevi changu.Hua unatumia kilevi gani? Maana inabidi tuanze kuhamisha magoli
Kama wewe umeuona mwezi Kwa macho yako hata kama Bakwata wakisema haujaoneka wewe unatakiwa ufungue ila kama haujauona basi subiri mamlaka itangazeDini isiyo na shaka ndani yake na imekamilika ...ila wakitaka kufungua mpaka bakwata watamke kama vile bakwata walikuwepo mtume alipo kua anapewa wahayi na Mungu ...hizi dini ni mchongo tu
IQ inapimwa kwa kumchekea mtu aliye anza kukudhihaki sio? Au ulizowea kua unadhihaki watu hapa JF kisha wao wanakuchekea tu sio? Basi leo umekutana na kitu kizito,ndio maana unakuja na IDs zako zote kijipambania.hata mimi nipo abroad ndo maana nakataa wewe kwa hiyo IQ huwezi kuwa abroad. Malawi na kenya sawa
unaanza kuchanganyikiwa sasaKujipendekeza na kujipitisha kwa wanaume huku unatingisha kalio zako vinakupelekesha sana.
Wewe hata akili za kuchanganyikiwa huna,ndio maana unakuja na ID zako zote.unaanza kuchanganyikiwa sasa
unatumia emotions kujibu hoja zako 🚮🚮🚮IQ inapimwa kwa kumchekea mtu aliye anza kukudhihaki sio? Au ulizowea kua unadhihaki watu hapa JF kisha wao wanakuchekea tu sio? Basi leo umekutana na kitu kizito,ndio maana unakuja na IDs zako zote kijipambania.
🚮Wewe hata akili za kuchanganyikiwa huna,ndio maana unakuja na ID zako zote.
Ushapagawa wewe. Pole sana.Muulize mamako anajua kilevi changu.
Ushadata. Pole sana.Wewe hata akili za kuchanganyikiwa huna,ndio maana unakuja na ID zako zote.