Tia ignore bwashee , madogo wana stress za maishaNdio siku nyingine uache shobo na wanaume,hii ID usirudie tena kuiletea lugha za dhihaka,
Hua naona vicomment vyako,unapenda sana kudhihaki watu humu na lugha zako za kuudhi,nataka nikubadilishia dozi ili upone kabisa na usirudie tena kua unadhihaki watu humu.
Ndiyo niliuona KenyaWewe uliuona mwezi?
Wewe ndio debe tupu kabisa,kwa taarifa yako ni kwamba,mimi hua nampokea mtu kama anavyokuja,Kuwa against na hoja yako siyo kuwa naunga mkono hoja ya Retired, ila tu comment zako ulivyoziandika. Hasa uhusiano mkuu Kati ya IQ na Mindset.
Sijasema una IQ ndogo, ila jinsi unavyocomment ungekua china au Singapore ingekua tofauti kabisa.
Samahani kukwazika
Hakuna sehemu moja nimeandika kuwa bongo hakuna IQ kubwa. Narudia, wewe unayo IQ kubwa, lakini mindset yako ndiyo naona questionable!Wewe ndio debe tupu kabisa,kwa taarifa yako ni kwamba,mimi hua nampokea mtu kama anavyokuja,
Ulivyokua hua akili unasema waliopo Bongo wana IQ ndogo,huoni kua hapo umewadhihaki wabongo wote? Hivi ungekua na akili timamu ungeyasema hayo? Ndio maana nakwambia kua huna akili.
Unaona sasa jinsi ulivyo debe tupu? Kumbe hujui hata ulichokiandika! Punguza shobo kurukia comment za watu kama huna akili za kutosha.Hakuna sehemu moja nimeandika kuwa bongo hakuna IQ kubwa. Narudia, wewe unayo IQ kubwa, lakini mindset yako ndiyo naona questionable!
Hivi kwanini sherehe, sikukuu nyingine zinaleta taharuki? Kama jambo lipo kila mwaka kwanini lisiwekwe kwenye kalenda ya mwaka?Afrika nzima mwezi umeonekana Alhamis and therefore Idd ni Friday.
Kumbe alitaka "mama" awe mgeni rasmi, na " mama" akasema Friday hana nafasi, basi aka declare Mwezi haujaonekana.
ACHA POROJO NA UZUSHI NONSENSE NAMNA HIYO GENTLEMAN,Afrika nzima mwezi umeonekana Alhamis and therefore Idd ni Friday.
Kumbe alitaka "mama" awe mgeni rasmi, na " mama" akasema Friday hana nafasi, basi aka declare Mwezi haujaonekana.
Ni utapeli Mkubwa kaka ,!!!Dini isiyo na shaka ndani yake na imekamilika ...ila wakitaka kufungua mpaka bakwata watamke kama vile bakwata walikuwepo mtume alipo kua anapewa wahayi na Mungu ...hizi dini ni mchongo tu
πMm sijaongelea katoliki hapa nimeongelea dini isiyo na shaka ndani yake ila mpaka shekhe mkuu aamue mfungue lini sio kitabu ..km ni mashoga hakuna dini imepona nenda zenji pale watu wanafokoana na azana ikipigwa wako msikitinj
Zanzibar mbali for the first time nilijionea Hilo dar π€£Jana nimetoka kumwambia mtu hii kitu. Akajifanya amekaza fuvu
ππkwa hizo akili hawezi kuwa nje ya nchi niamini mimi. asikutishe huyo yupo bongo hapahapa, ila Jf!
Siukitaka kwenda ni lazima ufungue mlango utoke nje !? Ama Mimi ndiye sielewi πmalawi nako ni nje ππ
noma saanaZanzibar mbali for the first time nilijionea Hilo dar Γ ΒΎΓ´£
Mikao ya pwani Ina laana