Ijumaa ya leo ikukumbushe tu Sabato ni Jumamosi

Siku ukila Kitimoto iliyo kaangwa na kukaushwa vizuri + ndizi, utaiheshimu tu Jumapili.
Daaa.
Wanaokula nyama ya nguruwe wrote wataangamizwa.

Ushahidi.
Isaiah 66:17
[17]They that sanctify themselves, and purify themselves in the gardens behind one tree in the midst, eating swine's flesh, and the abomination, and the mouse, shall be consumed together, saith the LORD.
Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema BWANA.


Suala la mtu aleje, anaelekeza Mungu aliyeumba sio Mate na uroho wa mlaji.
 
Wasabato na Waislam mnakosa mambo mazuri sana kwa kutokumla huyu mdudu 🐖
 
Mungu muweza wa yote anashindwaje kufafanua kuwa siku ya 7 ni lini,hadi anawaachia nyie binadamu ndio muhangaike kuifahamu.
 
The days were named after the planets of Hellenistic astrology, in the order: Sun, Moon, Mars (Ares), Mercury (Hermes), Jupiter (Zeus), Venus (Aphrodite) and Saturn (Cronos). The seven-day week spread throughout the Roman Empire in Late Antiquity.

Walio zipa siku majina,naona hawakufafanua zaidi,waliweka just assumptions.
 
Nimekupenda buree, ufafanuzi murua mtumishi wa mungu, nimependa Sana ulivofafanua ' yesu hakuumba weekend'
 
Mtumishi ngoja nikuulize swali. Unaamini kwamba mtu asiyeshika sabato ya jumamosi hataenda na Yesu ikiwa unyakuo ukitokea sasa hivi? Au hataenda mbinguni na kurithi nchi mpya?
 
Jumapili ni Siku ya kwanza ya Juma. Na Sabato kesho ni Jumamosi.
1 Wakati ule Yesu alipita katika mashamba siku ya sabato; wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuvunja masuke, wakala.
2 Na Mafarisayo walipoona, walimwambia, Tazama! Wanafunzi wako wanafanya neno ambalo si halali kulifanya siku ya sabato.
3 Akawaambia, Hamkusoma alivyotenda Daudi, alipokuwa na njaa, yeye na wenziwe?
6 Lakini nawaambieni, kwamba hapa yupo aliye mkuu kuliko hekalu.
8 Kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato.
 
Siku ya leo wakristu walikuwa wamefunga, waislam , wamefunga ila hawa jamaa wa 7 na wafuasi wa zumaridi ndio walionekana mitaani wakitafuna nyama na sijui nyama za wapi maana mabucha yote Tanzania leo hayakuchinja
 
Mimi Ni Anglican,Ila nakubaliana na wewe Sabato Ni jumamosi,,sijui hata kwa Nini naendelea kuivunja hii amri......Nje ya mada lakini,niliwahi sikia msemo "there's no Christmas without snow"Hivi ule mti tunaopamba Christmas Ni wanini jamani??maana naona barafu zimeanguka je wakati Messiah anazaliwa Bethlehem barafu zilikuwa zinaanguka hapo mjini?
 
Mkuu,Yesu alifufuka Siku ya kwanza ya juma,na si Sabato ndio maana hao wanafunzi walikuwa wanakwenda shambani.
 
Shida iko wapi..au kusema ukweli wa maandiko ndio shida?kama vile umeamua kuwa na denial mode..mana ukweli unajua ila huwezi kuufuata hivyo unaamua kuukana makusudi.

#MaendeleoHayanaChama
Ni kweli makanisa yote tunayosali jumapili sio kwamba hatujui sabato Ni jumamosi tumeamua tu kwa makusudi kabisa kuvunja tu hiyo amri Kama tunavyovunja nyingine.
 
Utii ni muhimu sana katika kupokea neema ya Mungu. Adam, Hawa, Kaini, Lameki... walishindwa kutii maagizo ya Mungu. Na matokeo yake unayajua. Hauwezi kuwa rebellious halafu ukategemea somehow kuingia mbinguni.
Jumamosi ndio itakupeleka mbinguni?
 
Wewe Hujui tu, Hapo walikuwa hawajui km atafufuka.Hata hivyo kwenda shambani sio hoja kwasababu Biblia haijasema km walikuwa wanaenda shambani kufanya nini? km walikwenda kutembea tu je??.
Yaani mtu akatembee shambani kweli? seriously?
 
Ni kweli makanisa yote tunayosali jumapili sio kwamba hatujui sabato Ni jumamosi tumeamua tu kwa makusudi kabisa kuvunja tu hiyo amri Kama tunavyovunja nyingine.
Sio kweli.

Mimi ninasali jumapili na ndio siku sahihi kwa wakristo sababu ni siku ya UFUFUKO WA YESU MWENYEWE, ni siku ya USHINDI, NI SIKU KUKOMBOLEWA TOKA UTUMWA DHAMBI NA MAUTI, hiyo ndio sabato ya agano jipya, sio KIVULI TENA CHA SABATO YA KWANZA JUMAMOSI, sabato ya agano la kale.

Ni kweli sabato ni jumamosi kama siku ya saba ya juma. Lakini kwa sasa tangu ufufuko wa Yesu ni kivuli cha mambo ya kale agano la kale. Kwa lugha ingine ni Unasali jumapili kama kumbukunbu ya kukombolewa toka katika utumwa wa dhambi kwa tendo la ufufuko wa Yesu siku ya kwanza ya juma jumapili, sabato ya jumamosi kama siku ya saba ya juma ilikuwa ni siku ya kumbukumbuu ya wana wa israeli kukombolewa toka utumwani misri, sasa wewe Joann na wakristo wengine wote ni lini ulikombolewa toka utumwani misri ?, kilichofanyika ni wewe na wakristo wengine wote mlikombolewa toka katika UTUMWA WA DHAMBI NA KRISTO MWENYEWE SIKU YA KWANZA YA JUMA JUMAPILI, na hiyo ndio siku ya wewe kufanya kumbukumbu na sio jumamosi sabato ya kiyahudi kumbukumbu ya kukombolewa toka utumwani MISRI.

Ndio maana hata wayahudi haters wa yesu walipomletea habari za sabato yao aliwaambia "MIMI NDIYE HUYO BWANA WA SABATO", na mbele huko aliwaambia wanafunzi wake nisikilizeni MIMI (refer tukio la kutokewa na mabii wa kale musa na eliya kule mlimani). Na baadae baada ya yesu kupaa mbinguni wanafunzi wake walifafanua zaidi juu ya hilo na kuwaambia wayahudi na wengine waliokywa wakingangania sabato ya kale kuwa HIYO ILIKUWA NI KIVULI CHA MAMBO YAJAYO YAANI KRISTO MWENYEWE ALIYE KUFA NA KUFUFUKA KAMA ALAMA YA UKOMBOZI NA KUISHINDA MAUTI.
 
Unachanganya mambo.
Amri ya kupumzika siku ya Saba haikuanzia Edeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…