Kwa hivyo ataenda kutoa ushahidi?CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Iaminini mahakamJana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.
Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
Unadhani Lissu hakufikiria yote hayo? Kwamba mhusika hajaona? Mtu alimuita mpaka Rais, unamtishia CDFCDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Cdf atakuja na ushahidi konkiCDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Ndio, anaendaKwa hivyo ataenda kutoa ushahidi?
Ingekuwa Kenya Mh Rais angekujaUnadhani Lissu hakufikiria yote hayo? Kwamba mhusika hajaona? Mtu alimuita mpaka Rais, unamtishia CDF
Ukute ameshapata taarifa zote wako wapi na wanafanya niniLissu alivyo mjanja ile jana alitulia kimya akijua tayari ameshapata ushahidi wake mwingine muhimu wa kuwabananisha mashahidi wake.
Sawa mhe jaji, sasa mbona anajificha kama hataenda kutoa ushahidi atamfungaje mheshimiwa.CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Ushahidi wa kumfunga Lisu, atadhibitisha uhaini wa lisu, jinsi magaidi walivyokuwa wanachoma vituo vya mafuta, stendi za mwendokasi, na kuuwa wapiga kuraCdf atakuja na ushahidi konki
Sasa mbona wanakimbia kimbia? Wanadanganya wako nje ya nchi, kumbe wapo hapa Dsm.CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Na hapo ndipo nitakuja like swali la vijana waliokamatwa na kukiri mbona hawajashtakiwa na DCI wala Wambura?Ushahidi wa kumfunga Lisu, atadhibitisha uhaini wa lisu, jinsi magaidi walivyokuwa wanachoma vituo vya mafuta, stendi za mwendokasi, na kuuwa wapiga kura
Hilo ni jambo lisilo na mjadala. Kuwatangulia mbele wabaya wake ndiyo utaratibu wake.Ukute ameshapata taarifa zote wako wapi na wanafanya nini
Hakuna Mahakama na point kuu ni hakuna Uhuru wa Mahakama Mahakama ni chombo cha watu fulaniJana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.
Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
Hao waliochoma vitu walitumwa na Lissu? Na kama walitumwa na Lissu, mbona mliwafutia kesi? Hovyo kabisa wewe!Ushahidi wa kumfunga Lisu, atadhibitisha uhaini wa lisu, jinsi magaidi walivyokuwa wanachoma vituo vya mafuta, stendi za mwendokasi, na kuuwa wapiga kura
Unafikiri Lissu ana elimu ya hapa na pale! Pole sana. Tambua tu yeye anajua anachokifanya.CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya