Ikijulikana mahakama ilidanganya kuhusu CDF itaaminika tena?

Ikijulikana mahakama ilidanganya kuhusu CDF itaaminika tena?

Jana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.

Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
Kwani ikiwa kweli yuko nje ya nchi ndo mtaiamini Mahakama?
 
Ukute ameshapata taarifa zote wako wapi na wanafanya nini
Alipopata uhakika wa DCI anakuja..

Leo hapo Ukonga..yupo anapitia vifungu vya Sheria.. Muundo wa ofisi ya DCI,
Jinsi inavyofanya kazi...
Yupo anapitia records za DCI na mambo mbalimbali
Pia Mawakili wake Leo watampelekea nondo mbalimbali za kuongezea..

Kiufupi Kingai yupo anasomewa vitabu.. huku yeye anarandaranda mjini...asikimbie tuu
 
Kwahiyo CDF alishuhudia vituo vikichomwa au aliambiwa na askari aliowatuma kuua.
Kingine mkuu, Mahakama haisomi magazeti au kuangalia TV Kisha itoe hukumu....
Mahakama inaangalia vitu vilivyoletwa mbele yake... Hayo mambo ya vituo kuchomwa moto ..hakuna ushahidi mbele ya Mahakama

Unakumbuka mwezi February Jamuhuri walitaka kuongeza ushahidi Mpya ukakataliwa ? Ule ushahidi ulikuwa na picha, video na forensic report za October 29.. Sasa walitaka wauweke... Ili mashahidi wakisema vituo vilichomwa..Majaji wanaona kwenye ripoti
 
Back
Top Bottom