kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,570
- 2,200
Nenda kasome sheria, umeshiba ugal na maharag na we ni prof wa sheria now.CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Nenda kasome sheria, umeshiba ugal na maharag na we ni prof wa sheria now.CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Hawajiulizi kwanini Lissu anawaaita maadui zake wanaotaka kumnyonga wawe mashidi wake.Unadhani Lissu hakufikiria yote hayo? Kwamba mhusika hajaona? Mtu alimuita mpaka Rais, unamtishia CDF
CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
ndio aende sasa kumfunga akirudi hiyo safari, tatizo nini sasaCDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Jinsi magaidi wa CCM(police) walivyoua watu,nyumba kwa nyumbaUshahidi wa kumfunga Lisu, atadhibitisha uhaini wa lisu, jinsi magaidi walivyokuwa wanachoma vituo vya mafuta, stendi za mwendokasi, na kuuwa wapiga kura
Lissu akili kubwa sanaHilo ni jambo lisilo na mjadala. Kuwatangulia mbele wabaya wake ndiyo utaratibu wake.
Watakuambia ushahidi uliokwisha tolewa so far umeprove kosa beyond reasonable doubt!Sawa mhe jaji, sasa mbona anajificha kama hataenda kutoa ushahidi atamfungaje mheshimiwa.
Anakuwaga mbele ya muda sanaHilo ni jambo lisilo na mjadala. Kuwatangulia mbele wabaya wake ndiyo utaratibu wake.
Kuna wahuni mbele!Kichochoro ya kupita imeanza kuwa ndogo...😜
Unajua atamuuliza maswali gani? wewe ni chawa kacharaCDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Kwani kwenye kesi ya Gachagua Rais Ruto alienda mahakamani? licha ya yeye kuonekana kafanyiwa insurbodination? Politics zinaapply kipolitics kila sehemu. Shida hatufatilii vituIngekuwa Kenya Mh Rais angekuja
Sio ya kikuda, inachekesha...yaani Mshtakiwa (Mtuhumiwa Mhaini) anatamba kuliko waliotaka kupinduliwa, wanahaha...KAZI KWELI KWELI...ila ngoja tuoneIla hii kesi ina mambo ya kikuda
Alieianzisha ngoma amekaa pembeni, saizi wanaicheza wengine....🤣Kuna wahuni mbele!
Mtuhumiwa ana Uhuru mwingi Sana🤣🤣Sio ya kikuda, inachekesha...yaani Mshtakiwa (Mtuhumiwa Mhaini) anatamba kuliko waliotaka kupinduliwa, wanahaha...KAZI KWELI KWELI...ila ngoja tuone
Nimejiziwia Kwa sababu ya Sheria za humu ndani ila nilitaka nikutukane tusi kubwa sanaCDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Hivyo ndio kuzuia Uchaguzi? Mbona mshindi alitangazwa kashinda uchaguzi kwa Asilimia 98.. kwahiyo hakufanikiwa kuuzuia wala kukinukisha. waliochoma moto vituo vya mafuta kwa mujibu wa tume ya Jaji Chande walikua na madai yao mbalimbali ikiwemo katiba mpya.Ushahidi wa kumfunga Lisu, atadhibitisha uhaini wa lisu, jinsi magaidi walivyokuwa wanachoma vituo vya mafuta, stendi za mwendokasi, na kuuwa wapiga kura
Amini Mungu pekee gentleman,Jana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.
Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
