Ikijulikana mahakama ilidanganya kuhusu CDF itaaminika tena?

Ikijulikana mahakama ilidanganya kuhusu CDF itaaminika tena?

Jana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.

Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
Hata mimi nasubiri. Wanahisi jeshi halina wanaompenda Lissu ambao wanaweza kutoa Location Jamaa alipo. Halafu kutokuja sio kwamba anamdharau Lissu bali mahakama coz ndo imewaita
 
Jana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.

Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
Umma (public) unapaswa kuifunga mahakama..!

Lakini tukumbuke kuwa hii ni serikali ya wahuni hii, wanaweza kufanya lolote kuihalalisha hiyo safari ya wakubwa hawa ionekane kweli walisafiri huku ukweli ukiwa kinyume chake...

Wanaweza kufoji tickets za safari, mihuri ya immigration, mihuri ya passport ya kila nchi na uchafu mwingine ili kuhalalisha uchafu uliopo na unaofuata..
 
CDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Fikira zako zimejifunga ndani ya box na kamwe haziwezi toka humo aidha kwa makusudi ama kwa ushabiki.

Kesi ya Lissu ina muda mrefu sana, lakini hakuna ulilojifunza kuhusu nafasi ya shahidi akiwa kizimbani.

Jiulize swali dogo, ungelikuwa ndiye wewe mshitakiwa,, ungeweza kumuita shahidi atakayetoa ushahidi kandamizi dhidi yako?

Cdf, Kingai ama Igp hawawezi ingia kizimbani na kuanza kuongea wanavyotaka kama wanavyotoa amri kwa askari wao, bali wataongozwa cha kuongea(dodoso) ambacho Lissu atakavyoona vinamsaidia kuvuka.

Maswali yasiyo na faida kwake hatayauliza na mashahidi hao hawawezi anza kuropoka maneno bila kuongozwa nini cha kuongea.
 
Umma (public) unapaswa kuifunga mahakama..!

Lakini tukumbuke kuwa hii ni serikali ya wahuni hii, wanaweza kufanya lolote kuihalalisha hiyo safari ya wakubwa hawa ionekane kweli walisafiri huku ukweli ukiwa kinyume chake...

Wanaweza kufoji tickets za safari, mihuri ya immigration, mihuri ya passport ya kila nchi na uchafu mwingine ili kuhalalisha uchafu uliopo na unaofuata..
Uhuni upo Afrika ni ngumu sana kufoji viza ya Marekani au nchi za Ulaya.
 
Back
Top Bottom