Hajawaita wamtetee, amewaita wadhibitishe uhani wake kutokana na nafasi zao kikatiba. Ama unadhani ni utetezi wa hivyo unavyodhani?Unawabananishaje mashahidi wako? Mashahidi wako umewaita mwenyewe wakutetee unawabananisha ila ufaidike na nini ?
Kinachotakiwa hapo ni kudhibitisha pasi na shaka kuwa mahakama inatumika.hayo yote nayajua, in fact hayo maelezo ulitakiwia umpe ambaye anauliza kama Mahakama itaaminika ikijulikana ilidanganya as if haijawahi kudanganya katika maamuzi yake
Wale ni mashahidi wa utetezi atawaongoza kumtetea wanaotakiwa kuthibitisha uhaini wake ni mashahidi wa jamhuri na washapita hivyo wakienda kinyume na hilo wakamgeuka ndio itambidi yeye awafanyie cross examinationHajawaita wamtetee, amewaita wadhibitishe uhani wake kutokana na nafasi zao kikatiba. Ama unadhani ni utetezi wa hivyo unavyodhani?
Akishaweka kwenye kona unategemea hao mawakili wa jamuhuri wawahoji kuhusu miamala yao ya bank kama Heche?Wale ni mashahidi wa utetezi atawaongoza kumtetea wanaotakiwa kuthibitisha uhaini wake ni mashahidi wa jamhuri na washapita hivyo wakienda kinyume na hilo wakamgeuka ndio itambidi yeye awafanyie cross examination
Wale hawaji kama mashahidi wa serikali Bali mashahidi wa LissuYes. Ushahidi utakaotumika kumfunga ni ushahidi wa serikali
Ndio maana kawaomba wakutane asubuhi kabla ya kutoa ushahidi. Ili wakubaliane ila wakigoma basi.Unawabananishaje mashahidi wako? Mashahidi wako umewaita mwenyewe wakutetee unawabananisha ila ufaidike na nini ?
Siku Mahakama ikisema ukweli mtaiamini?Mahakama itaaminika kwa kusema ukweli, sio kushurutishwa kuiamini.
Ukweli ni ukweli, wathibitishe kwa nyaraka kuwa hao watu walikuwa nje ya nchi. Hatuamini sanamu sisi, bali kwa udhibitisho.Siku Mahakama ikisema ukweli mtaiamini?
Kilichoko ni kama alivyosema Lissu kwamba majaji ni CCM so ht wafanyeje hamtoiamini hiyo mahakama
Itamuombaje radhi na imeshampatia summonsHapo Mahakama ndio itamuomba radhi CDF 😂😂😂
Na wasipothibitisha je!?Ukweli ni ukweli, wathibitishe kwa nyaraka kuwa hao watu walikuwa nje ya nchi. Hatuamini sanamu sisi, bali kwa udhibitisho.
Hivi wewe unaweza kuiamini mahakama inayo sikiliza kesi mwaka mzima ya uhaini wa mtu Mmoja?. Yani kwamba mtu Mmoja anaweza kupindua serikali.Siku Mahakama ikisema ukweli mtaiamini?
Kilichoko ni kama alivyosema Lissu kwamba majaji ni CCM so ht wafanyeje hamtoiamini hiyo mahakama
Wote wanakuwa waongo, hata hukumu yao itakuwa ya uongoNa wasipothibitisha je!?
Kilichopo ni kwamba Mahakama zetu haziaminiki. Na sio eti ikionekana jana walisema uongo ndo haitoaminika. That's why nikauliza na ikionekana walisema kweli ndo mtaiamini hiyo Mahakama?Hivi wewe unaweza kuiamini mahakama inayo sikiliza kesi mwaka mzima ya uhaini wa mtu Mmoja?. Yani kwamba mtu Mmoja anaweza kupindua serikali.
kwamba wataichelewesha hiyo rufaa ili wazidi kumuumiza geniusNa mahakama ikitoa hukumu bila kuzingatia ushahidi wa hao watatu kwenye rufaa itapigwa chini.
Pole, bora kunyamaza kuficha upumbavu wakoCDF ndio atakaemfunga Lisu, hawezi kuwa upande wa mhaini, hapa ndio lisu amejichanganya
Sio kazi mahakama kumleta shahidi mahakamani. Hiyo ni kazi ya Lissu na genge lake.Jana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.
Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
kwa hiyo hadi sasa kwa mazingira yaliyopo hamna uhakika kama mahakama inatumika na mhimili mwingine ?Kinachotakiwa hapo ni kudhibitisha pasi na shaka kuwa mahakama inatumika.
Kwa wale matomaso kuwa hizo ni mahakama za simu moja watadhibitisha. Kuna watu huwa wanahadaa wananchi kuwa hakuna aliye juu ya sheria, watajionea mambo ya zilongwa mbali, zitendwa mbali.Na wasipothibitisha je!?