Ikikulazimu kununua gari ya Umeme (EV) used kutoka Japan, hizi hapa za kuzitupia jicho.

Ikikulazimu kununua gari ya Umeme (EV) used kutoka Japan, hizi hapa za kuzitupia jicho.

Hivi morogoro kuna kituo cha kuchaji magari?
Kwa mfano kama ubatoka DAR kwenda mikoani Kwa morogoro ni eneo muhimu Sana ...nashangaa Tanzania bado tupo nyuma tofauti na Kenya hawa wwnzetu wanatumia Sana haya magari ya kisasa
Mfumo wa Bongo hauruhusu ubunifu wala kujiongeza kwenye mambo critical kama haya kama ilivyo Kenya. Kingine kwa upepo ulivyo mwelekeo wa sekta ya umeme kwa miaka ijayo una walakini. Bila lile bwawa la Nyerere huenda leo tungekuwa tunakabiliwa na mgao mkali wa umeme. Lakini serikali imerelax sana baada ya huo mradi wakati matumizi ya umeme yanaongezeka kwa kasi kila siku.
 
Swali nzuri Masta. Iko hivi;

Charging ya Magari kidogo iko tofauti na chaji ya simu. Battery la gari linatumia umeme wa DC. Sasa mfano unachajia nyumbani, umeme wa AC kinachofanyika, chaja inapeleka umeme ukiwa ivo ivo AC (chaja haibadirishi AC-DC), ila converter ipo kwenye gari (onboard charger) yenyewe ndio inaconvert AC - DC.

Ila ukichajia DC, inamaana umeme unaenda moja kwa moja.

Sasa kuhusu kiwango cha umeme, inamaana kila gari Lina uwezo wake wa kupokea umeme. Kwahiyo ata kama ukiweka gari kwenye chaja kubwa mfano 22 kW ila on-board charger Yako inarate ya 7 kW, kwahiyo gari itapokea 7 kWh tu.
Nadhani muuliza swali alimaanisha ile pin au connector inayoingia kwenye charging port ya gari zinafanana kwa gari zote kwamba nikifika charging station katoka mtu wa tesla naingia nissan leaf yangu nacharge tu fresh bila kufanya mabadiliko yoyote yale kwenye ile charger inayowekwa kwenye gari kucharge
 
Back
Top Bottom