Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

Ni kama haupo proud na gender yako shida ni nini dear?
Anachoongea kina mantiki na ndio uhalisia wa maisha halisi.Ni basi tu mnataka kubadilisha mifumo sio kitu rahisi na pia ina gharama zake na moja ya gharama ni wanawake wengi kuwa Singles.
 
Sijampa me tiketi ya kusaliti bali ulisema namuinua mwanaume na kumshusha mwananmke nikakwambia mwanaume tayari yuko juu,ninqchofanya mimi ni kukiri ukweli kuwa mwanaume yuko juu yetu.

Tunapambana ila sio wote hata wewe unajua familia nyingi baba ndo mpambanaji.

Binafsi,najipenda sana.Na hakuna mtu mwenye akili timamu ata justify usaliti.H
 
Unatamani sana kuwa mwanaume ndio kinachokusumbua. Jikubali acha kujichukia
 
Eti watasema uko dickmatized, kumbe umeamua kukubali nature mrembo.

Ila me napinga ku normalize usaliti sis, kwa mahaba ya kiwango chako usaliti usivumilie ata kidogo you deserve the best as much as you give it 🌹🌹
 
Kwa uzoefu wangu siwezi kumuunga mkono au kumpinga ila nina uhakika anasema kweli.

Wananawake mnatofautiana kimtazamo. Kuna watamaduni sana na wasasa sana.

Kuna KE atavumilia kukaa nyumbani bila shughuli, ila hatovumilia kusalitiwa.

Kuna KE atavumilia kusalitiwa, ila hatovumilia kusimangwa.

Kuna KE atavumilia kupigwa, ila hatovumilia kusalitiwa nk. nk.

Kuna KE wameridhika tu na mfumo uliopo. Labda hawajaelimika sana, wameshika sana dini, malezi nk.
Na ninahisi familia nyingi zipo hivi. Wanaishi kama wapangaji tu, wameshaachana kitambo ila hawajatawanyika. Au wananafikiana.
 
Utafika mbali sana ila utafika ukiwa umechoka haswaa
 
Utakuwa umemtendea jambo jema sana
Halafu mume wangu nimuachie nani.
Na hata ningekua singo siwezi toka na mJF coz wanajua akisaliti nitasamehe.
Hii misimamo yangu mume wangu haijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…