Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

Tupo wengi ila wengine wanaogopa kusema
Wanayajua sana haya... Wanajua hasa linapo kuja swala la mwanaume mwenye nazo, huwezi Sikia wanamkoromea, wataenda ku deal na yule mwanamke aliye cheat na mwanaume.. Akili ndo huwa zinawajia hapo
 
On point lakini ifike mahala ujue no one is perfect.

Umeuwa kabisa hapo.. πŸ˜‚ Hawajui kuwa tu nachukua jukumu la kulea mtu, na kumhudumia mpaka anazeeka
Can you imagine.
Halafu mtu aniambie mhudimia na mhudumiwa wanaumia sawa wakisalitiwa!!?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Probably Mama ndege, a big bird in the sky, an enabler, name it!
Facts πŸ’―, but I think huyu ni wale prehistoric avian ancestors, founding mother of the birds community na kama ni today's bird, she is an ostrich or an eagle, because whaaatttt 😡😡πŸ₯±

I hope if by any chance things go south out there (God forbid) She will be picked in here!
They will pick and break her, nobody is above the program.
 
Wanayajua sana haya... Wanajua hasa linapo kuja swala la mwanaume mwenye nazo, huwezi Sikia wanamkoromea, wataenda ku deal na yule mwanamke aliye cheat na mwanaume.. Akili ndo huwa zinawajia hapo
Wanawake wa kisasa wengi wanachokiita standards ni mipaka tu ambayo wanaiweka ili wasisogelewe na wanaume wasiokua na hela. Kwa lugha ya kisasa tunasema wanakuza brand. Lakini kwa mwanaume mwenye hela hizo standards zao ni useless tu. Mwanaume awe irresponsible, womenizer, cheater, drug dealer, careless, awe na lundo la baby mamas mitaani n.k, as long as he has money women will scramble for him and competing each other for his commitment. Specificatiin ya wanawake ni hela, hizo zingine ni mbwembwe tu
 
binti kiziwi ataibishia na hapa tena.

Mkuu in this world sisi ni kama wanyama tu, ukisha threaten survival kiumbe lazima kiwe vulnerable... Watu wanaongea kujifurahisha tu humu. Hakuna mwanamke anayependa usaliti ila kwa mwanaume mwenye nazo, lazima awe mpole maana survival na maisha mazuri yako on hold
 
Wateva the case na viingereza vyenu vigumu 😜 but you can place me in the museum if I sound ancient to you.

Nb:Nobody can break me.

Nb2 ;Kwa hiyo huyo ndege anayemweka mweka macho ndo binti kiziwi πŸ˜ƒ
 
binti kiziwi ataibishia na hapa tena.


Honestly nataka kujibu vibaya ila nimeokoka sitaki ugomvi na watu.

Msipende kulazimisha type ya kila mwanamke au mnayedhani ni type ya kila mwanamke iwe type ya β€œkila mwanamke” if you know you know.

Mwanamume msaliti ni takataka kama alivyo mwanamke msaliti, Atakusaliti akuletee magonjwa (hapo haujamkamata lakini labda kila mara unatibu gono, sifilisi, Herpes etc bado kubwa la makubwa HIV

Ukimkamata ile dharau ya kuishi na mtu anayelala na mwanamke mwingine waziwazi sio kila mwanamke can bare it.. Nimewaambia mbona kuna wanaume wana hela wameachwa na wanawake zao sababu ya usaliti? Hamjanipa jibu mpaka sasa.

Kwahiyo mnaelewa nini? It’s apples and oranges.
 
Sasa hapo ndo kuna tatizo.
Hapa maslahi yetu yanakua yameguswa na tutapaza sauti kudai usawa.
Sio suala la maslahi yetu kuguswa ni suala la majukumu. Ukimuondolea mwanaume provision kwenye familia anabaki na nini? Siku hizi hakuna security maana tuna suma JKT na wamasai kila kona 🀣

To be fair.
 
Sasa hapo ndo kuna tatizo.
Hapa maslahi yetu yanakua yameguswa na tutapaza sauti kudai usawa.
Tatizo sio usawa, tatizo ni kuchagua chagua vipengere vya huo usawa. Kwa ninavyoelewa mimi, wanawake hawataki usawa wa kijisnia(gender equality) isipokua wanataka nguvu ya kuchagua ni wapi na kwa namna gani wawe sawa na mwanaume(selective equality) . Kama mnataka usawa kwa ujumla wake haitaleta shida. Lakini kama usawa wenyewe ukiegemea kwenye masilahi na kuonyeshana unwamba ndani ya nyumba hapa mzani hauwezi ku-balance.
 
Japo sio wote mkuu ila ulichosema ni kweli kabisa.Ndoto ya kila binti ni kuolewa na mwanaume tajiri bila kujali ni utajiri wa aina gani.

Mimi hapa nimeambiwa kashfa nyingi kisa kusema mume wangu ambae ni binadamu mwema asiyeza kumfanyia yeyote ubaya akichit nitamsamehe ila hao hao wanaosema nimechanganyikiwa,sipendi jinsia yangu,nk. wakichumbiwa na mtu kama Idd Amin dada,Hitler au wasioujulikana watakubali na kuwa proud wives kisa kuna pesa.Tena hata wakisalitiwa utasikia as long as dunia inajua mm ndo first lady wa Uganda hao vichenchede wa mume wangu Idd hata hawanishughulishi.

Ndo hao kina Shamim Mwasha,kaolewa na drug lord ila anamshangaa anayesamehe mumewe mwema akichit.
 
Nimewaambia mbona kuna wanaume wana hela wameachwa na wanawake zao sababu ya usaliti? Hamjanipa jibu mpaka sasa.
Usipindishe maneno,
Nimeongelea survival hapa, mwanamke anaangalia kama anapata kitu au laah, na wengi hutumia wanaume waki achana ndo waje wadithi mali, ila unajua kabisa nilicho ikimaanisha..

Hao wanaoachika ni kwa sababu mwanamke anakuwa anajua kabisa hiyo relationship sio beneficial..

Ni either anajiweza kiuchumi, au tayari kasha pata Sehem ya kupata kikubwa zaidi
 
Hata kama mume ni masikini mdogo wangu,,hivi kweli kama mwanaume kawa mwema na mwaminifu miaka yote hlf siku moja itokee achit then nimuache just like that!?
Nisikumbuke mema alinifanyia miaka yote nikampa second chance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…