Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
 
Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu

Umeanza kuzoeleka sasa time flies with people
 
Yanga mbona kashinda na yeye alikuwepo kwenye hili trenii langu la timu 25 yaani yanga ni uhakika hata akicheza vibaya ambae simuamini ilikua simba aisee
Kwa mimi mtu ninaejua mpira yanga ndo haiaminiki
 
Kwa mimi mtu ninaejua mpira yanga ndo haiaminiki
Wewe kweli mpira hujui yaani yanga haiaminiki yaani bingwa mara 3 mfulilizo unasema haiaminiki unataka tuamini timu ambayo sio bingwa mzee embu fatilia mchezo mwingine unaweza kuijua ila mpira huujui kama unasema yanga haiaminiki wakati ni bingwa
 
Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
HII SIYO CHAI BALI NI UJI WAMOTO
 
Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
Umeweke shilingi ngapi mpaka upate milion46?
 
Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
Simba inafungwa yaan mapema sana Azam ana hasira balaa kwa hio leo Simba analaruliwa hatoamini
 
Back
Top Bottom