Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
Hivi unategemea maombi kwenye kushinda au uwezo wa akina ukuta wa yeriko? Au yule striker mrefu kuliko, goli, ambaye haruki, mpira ukija tuu UWAAAAAAAA...!! goliii?
 
Sumba ndio timu gani??
uto bhana dah.
Sumba sc a.k.a 5imba a.k.a Kolouizdad a.k.a Nguruwe fc a.k.a deportivo de makolo a.k.a Mikia fc a.k.a Mbumbumbu fc a.k.a robo kilo fc a.k.a Ngada fc a.k.a paka fc
 
Simba akishinda leo napiga kama 5000 huku tano hivi
 
Back
Top Bottom