Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
SIMBA kamwe haiwezi kukuangusha kamwe
 
Mwisho wa siku utapigwa mtungo
 
Back
Top Bottom