Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mkuu unalewa ukiwa na watoto wazuri wangapi?😂Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu