Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

Nimeupa baraka mkeka wako.unikumbuke kwa chochote utacho barikiwa.amen
Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
 
Wewe kweli mpira hujui yaani yanga haiaminiki yaani bingwa mara 3 mfulilizo unasema haiaminiki unataka tuamini timu ambayo sio bingwa mzee embu fatilia mchezo mwingine unaweza kuijua ila mpira huujui kama unasema yanga haiaminiki wakati ni bingwa
Chizi huyo.
 
Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
Mwaka jana nilikuwa kwenye situation kama hii mkeka umetiki ikawa imebaki mechi moja tu kati ya ManU na Leicester nikitarajia Man ashinde nipige milioni 38. Man kaliwa kichwa 3 moja. Shubaamit
 
Dah halafu haya makampuni yanafunga cashout
 
Back
Top Bottom