Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Pole sana mkuuGuardiola kaniua aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuuGuardiola kaniua aiseee
Mkeka uko wapi tuoneGuardiola kaniua aiseee
Nimeshalose nimeufuta sporty betMkeka uko wapi tuone
Kawaida hii ndio betting ukiliwa umeliwa ukila umekulaKila la heri boss, kubeti ni mchezo wa kubahatisha, bahati ikiwa upande wako unashukuru MUNGU.
PoleWakuu Leo ndio Leo kwangu ikitokea Manchester city kamfunga arsenal navuta milion 50 nakua new milionea in town maombi yenu aisee Wana JamiiForums wenzangu treni langu linaisha Leo lilikua mechi 20 mechi ya Mancity na Arsenal ndio ya mwisho.
Mkuu Mimi Kuna ticket nilitangaza na nilishinda milion 12 kawaida tu hata haihusiani na hizo imaniKabisa mkuu yaani usitangaze kabisa ni bora watu waone matokeo tayari. Halafu sometimes unayemwambia anaweza kuwa hajui kama ana negative forces towards you na wengine makusudi kabisa anakufanyia roho mbaya.
watu wanacheza ulaya huko. utangaze jf ndo mambo yafeli?Kosa lako kubwa ni kutangaza mafanikio kabla. Ujue kuna nguvu ya silence.
SawaPole
Si ndio hapo kama mkeka kulose unalose tu hata usipotangaza hamna habari hizowatu wanacheza ulaya huko. utangaze jf ndo mambo yafeli?
Ukweli kabisa...husdah ni mbaya sana! Watu kila siku wanapunwa halafu wewe unakuja kuwatangazia kuwa unaenda kula pesa ndefu..Lazima wakuhusudu tu na utashangaa mambo yanavyokwenda kinyume naa vile ulivyokuwa ukitarajiaKabisa mkuu yaani usitangaze kabisa ni bora watu waone matokeo tayari. Halafu sometimes unayemwambia anaweza kuwa hajui kama ana negative forces towards you na wengine makusudi kabisa anakufanyia roho mbaya.
Mkuuu cash out dakika ya 90 haipoDuh kweli mpira hautabiriki, dakika za nyongeza Man city wanasawazisha hapa na dakika mbili baadae wanapata chuma cha tatu. Dakika za jioooooni Man City inamfurahisha mleta uzi. Man city 3 Arsenal 2. Mechi imeisha, mleta uzi kachukue milioni 50 yako. Hongera sana haikuwa rahisi aisee.
Naunga mkono hojaThe envy is real...sio mkeka tu hata kwenye mishe za kawaida ukiwa na dili la pesa usitangaze ovyoovyo kwa watu. Hakuna kitu kinaumiza kama kijicho /evil eye.
Kijicho kinaukausha mmea uliostawi na kuabadilika kunyauka kabisa
Nilkuwa nimeandika comment yang awali,nilipoona hii comment yako ikabid niifute yang kwanza afu nifatilie matokeoImekustua nini? Ukawa una refresh mara mbili mbili kuona pengine ni kweli. Nilikuwa natania tu japo ilikuwa kidogo nipatie ngoma imeisha 2-2 pole kwa mleta uzi. Angeweka double chance angekuwa anafurahia hapo.
Huwa haitangazwi mapema mpka mechi iisheWakuu Leo ndio Leo kwangu ikitokea Manchester city kamfunga arsenal navuta milion 50 nakua new milionea in town maombi yenu aisee Wana JamiiForums wenzangu treni langu linaisha Leo lilikua mechi 20 mechi ya Mancity na Arsenal ndio ya mwisho.
Hamna kitu kaam hicho kaam lose ni lose tuHuwa haitangazwi mapema mpka mechi iishe
Game lilikua tamuHuwa haitangazwi mapema mpka mechi iishe
Mechi kubwa maweka G-G sitoi ushindiKiunua mgongo cha mtumishi aliyetumikia zaidi ya miaka 20 unataka ukipate kiwepesi maisha hayajawa rahisi kihivyo
wapenda soka tumeenjoyGame lilikua tamu