Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #221
Kawaida mkuu kwenye betting sio riziki yanguAisee...
Sema nini Kwanza nikupe pole najua machungu ya mkeka kuchanika Kwa timu moja Tu tena timu kama city...
Lakini ukweli mchungu kuna watu Wana roho mbaya jifunze kutunza siri ukikaribia kufanikiwa kuna watu wenye vijicho...
Lakini cha mwisho siku nyingine ikibaki mechi moja cash out... Maana ndo hua zinachana nimeshuhudia visa vingi vya hivo sema siwezi kusimulia...
Mkeka wa Milioni 50 kama kweli ilikua imebaki the cytizen tu... Basi ulikua hukosi japo Milioni 20+