greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Mkuu,Ile ada ya chuo bora ningeanzisha biashara ya pop corn tuu.
Hapana labda ingekuwa miaka 10 nyuma kama ulivosema.Mkuu,
Nina mashine ya popcorn, nikupatie....😂😂😂😭
Sasa si ndo ujishauri hapo kwenye advance?Sioni hata ningejishauri nini, naona njia zote nilizopita ni sawa kasoro njia ya kwenda Advance hapa niliboronga
👏👏👏👏Hapana labda ingekuwa miaka 10 nyuma kama ulivosema.
Kwani hakuna jambo ambalo laiti ungelifanya sawa kipindi cha O'Level, lingekuwa na matokeo chanya.Yaani nirudi shule 🙄tena o level,,weeeee ebu sema ata miaka 4 nyuma bwan.
Hakuna aseeeKwani hakuna jambo ambalo laiti ungelifanya sawa kipindi cha O'Level, lingekuwa na matokeo chanya.
Nitaingia ccm mapema sana na kuwa chawa mwandamizi Ili nipande vyeoHabari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako.
Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia.
Hapa nina swali fikirishi...
Eti,kama ikatokea ukapewa fursa ya kurudi miaka 10 au 15 nyuma na kukutana na wewe mwenyewe wa miaka hiyo kumi nyuma na ujipe ushauri, Je,utajishauri nini....?
Kwangu binafsi ,ningejishauri...
- Kuangaika kupata fursa na kujitutumia katika kuzitekeleza hata kama zitafeli.
- Kuondoa uoga kabisa katika kuanza maisha.
- Fursa haziishii Dar,nitoke na kwenda mikoani na hata ikitokea nje ya Tanzania.
- Kuwa karibu na watu wenye kuwaza maendeleo.
Kwa nini unaona uliboronga kwenda advance?Sioni hata ningejishauri nini, naona njia zote nilizopita ni sawa kasoro njia ya kwenda Advance hapa niliboronga