Ikitokea ukapewa fursa ya kukutana na wewe mwenyewe wa miaka 10 nyuma. Je, utajishauri nini?

Ningejishauri hivi...

Jiamini kijana una uwezo mkubwa kuliko unavyojifikiria.

Walai tena ndugu zanguni ningeacha alama kwenye ulimwengu huu
 
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako.

Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia.

Hapa nina swali fikirishi...
Eti,kama ikatokea ukapewa fursa ya kurudi miaka 10 au 15 nyuma na kukutana na wewe mwenyewe wa miaka hiyo kumi nyuma na ujipe ushauri, Je,utajishauri nini....?

Kwangu binafsi ,ningejishauri...
  • Kuangaika kupata fursa na kujitutumia katika kuzitekeleza hata kama zitafeli.
  • Kuondoa uoga kabisa katika kuanza maisha.
  • Fursa haziishii Dar,nitoke na kwenda mikoani na hata ikitokea nje ya Tanzania.
  • Kuwa karibu na watu wenye kuwaza maendeleo.
usitombe mwanamke bila condom!!
Ukimwi n mbaya lakin si mbaya kuliko….
 
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako.

Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia.

Hapa nina swali fikirishi...
Eti,kama ikatokea ukapewa fursa ya kurudi miaka 10 au 15 nyuma na kukutana na wewe mwenyewe wa miaka hiyo kumi nyuma na ujipe ushauri, Je,utajishauri nini....?

Kwangu binafsi ,ningejishauri...
  • Kuangaika kupata fursa na kujitutumia katika kuzitekeleza hata kama zitafeli.
  • Kuondoa uoga kabisa katika kuanza maisha.
  • Fursa haziishii Dar,nitoke na kwenda mikoani na hata ikitokea nje ya Tanzania.
  • Kuwa karibu na watu wenye kuwaza maendeleo.
Nakumbuka field trip mzee alinipa laki 9 na niliitumia vibaya na akili zile zakitoto leo hii najuta, sikumbuki hata ziliishaje, maana nilikuwa nakaa bure, na kula bure😪
 
Back
Top Bottom