Ikitokea ukapewa fursa ya kukutana na wewe mwenyewe wa miaka 10 nyuma. Je, utajishauri nini?

Ikitokea ukapewa fursa ya kukutana na wewe mwenyewe wa miaka 10 nyuma. Je, utajishauri nini?

Miaka 10 nyuma niko zangu najiandaa kwenda A-level.
Ningepambana niende na calculator.
Ningenunua vitabu vya kutosha ,
Ningeanza kusoma kwa bidii mapema.

Wazo la kuhama ile shule ningefikiria kwa kina.

Mambo mengi nisingebadili,
Maana advance yangu yote sikusumbuka na mademu- hakuna cha kubadili.
 
Miaka 15-20 nyuma ningejiambia...ACHA KUNUNUA MAGARI,NUNUA VIWANJA NA MASHAMBA.GARI MOJA YA BEI NAFUU INAKUTOSHA.....Ningefuata ushauri huu ningekuwa mbali sana. Natumia thread hii kuwaambia vijana kuanzia 25-40 achana na magari, kama ni lazima nunua moja la kawaida na usibadili kisa namba zimebadilika,litunze hela zako wekeza kwenye viwanja,majumba na uwekezaji mwingine. Nimepoteza hela nyingi sana kwenye magari ujanani na yote ni historia tu hamna cha maana nilichopata.
 
Sneaky links hukupata?

Usituchore wewe
 
I don't have any regrets in my life kurudi nyuma maana yake ni kurekebisha mistakes zako kitu ambacho hakiwezekani because life is a journey of mistakes hata kama usingefanya hzo mistakes ulizofanya nyuma bado ungefanya mistakes nyingine tu so just enjoy the life just enjoy the show life is too short.
 
1. Kwenda Advance ilikuwa ni ujinga
2. Kwenda chuo kikuu ilikuwa ujinga( ningeenda VETA)
3. Kuwa na mawazo ya kuja kuoa ( ujinga huu nashukuru sijaufanya)
Big no mkuu hayo yote uliyofanya yalikuwa sahihi haijalishi ulikutana na changamoto kiasi gani.
 
Back
Top Bottom