Ikitokea ukapewa fursa ya kukutana na wewe mwenyewe wa miaka 10 nyuma. Je, utajishauri nini?

Ikitokea ukapewa fursa ya kukutana na wewe mwenyewe wa miaka 10 nyuma. Je, utajishauri nini?

Kutomuamini mwana adamu.
Sasa
Advance anakuwa na analytical skills kubwa diploma anafanya vitu kwa mazoea hao ni watu wawili tofauti

Wewe chuo umesoma kozi gani? (be honesty)
Advance wana analytical skills 🤣🤣🤣....
Unatoka PCM halafu unaenda Architecture......
90% ya kila kitu kinakuwa kipya kwako...unaenda fanya analysis ya nini...?😭😭😭🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom