Ikiwa CCM ilikiuka katiba yake, Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa imechukua hatua gani?

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
14,379
Reaction score
19,134
Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.

Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?

Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?

Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.

Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
 
Uwepo wa hiyo ofisi ni mzigo na haina tija.hiyo ofisi ipo kwa ajili ya kuipigania ccm dhidi ya chamq pinzani kinachoonekama kua na nguvu
 
Office ya msajili ipo bize kupambana na CHADEMA kuinyima ruzuku, kujfingulia kesi za mchongo , kuwanunua baadhi ya makada kwenda Chauma, kuchochea Kesi ya uhaini Kwa. Lisu
 
Unataka msajili amfokee muajiri wake? Wewe unaweza?
 
Lakini siyo yeye ni ofisi zinafokeana.

Ofisi ya msajiri iifokee ccm. Siyo mutungi amfokee samia.

Hata wangefanya maigizo tuliyoyazoea kuweka precedent.
 
Kuanzia Mutungi na wasaidizi wake wote kwenye hiyo ofisi ya Msajili wa Vyama ni makada wa sisiemu, so hawawezi kuchukua hatua.

Na ndiyo sababu Reforms ni muhimu sana kwa sasa
Wao wana mtumikia kafiri naona.
Wana jali matumbo yao zaidi kuliko kutenda haki.
 
Uwepo wa hiyo ofisi ni mzigo na haina tija.hiyo ofisi ipo kwa ajili ya kuipigania ccm dhidi ya chamq pinzani kinachoonekama kua na nguvu
Yani kwasababu ccm ndio waliianzisha ofisi inashindwa kumuadhibu mama yao.

Kama ccm ndiyo iliianzisha hiyo ofisi, tuna uhakika gani ccm inao usajiri?
 
Office ya msajili ipo bize kupambana na CHADEMA kuinyima ruzuku, kujfingulia kesi za mchongo , kuwanunua baadhi ya makada kwenda Chauma, kuchochea Kesi ya uhaini Kwa. Lisu
Kuwapangia nyumba watoto wa watu kina MCHOME
 
Wanajua hamna cha kuwafanya. They are the top.
Kweli mfumo wa haki nchi hii umepinda.

Kuna mwanachama aliwahi kuulalamikia mchakato akatishiwa kufukuzwa.

Na ifisi ya msajiri haikumsaidia kupata haki ya ufafanuzi wa katiba ya ccm.
 
Office ya msajili ipo bize kupambana na CHADEMA kuinyima ruzuku, kujfingulia kesi za mchongo , kuwanunua baadhi ya makada kwenda Chauma, kuchochea Kesi ya uhaini Kwa. Lisu
Kwasababu mlezi wao ccm ndiye huwatuma kufanya hayo.
 
Back
Top Bottom