Ikiwa CCM ilikiuka katiba yake, Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa imechukua hatua gani?

Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?

Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?

Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.

Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
Msajili hana Mamlaka ya kukisimamia CCM kwa sababu hakukisajili.Yeye aliundwa baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza.CCM ilikuwa tayari kipo.
 
Hahaha hatuogopi ndiyo maana tunawakataa wahuni.
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?

Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?

Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.

Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
Kama katiba ya ccm ilikiukwa tuna imani msajili atachukua hatua haraka
 
Kuna mwanachama alilalamika wakamzima bila kumsikiliza.

Alitishwa badala ya kusikilizwa.

Kwanini Mchome alisikiluzwa alipolalamikia utqratibu kukiukwa ndani ya chadema lakini huyu wa ccm akapuzwa?

Mpaka sasa tungeshaona barua mitandaoni lakini kwasababu hatuoni inamaanisha ccm iko juu ya sheria za ofisi ya msajiri.
 
Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?

Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?

Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.

Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
Hiyo ofisi ni rubbish
 
Msajili kapeleka hasira zote Kwa chadema
 
Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa haipo kwa ajili ya chama cha kijani ipo kwa ajili ya vyama vya Upinzani tu.
 
Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?

Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?

Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.

Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
Hizo taasisi zote za kiutawala hufuata maagizo ya mwenyekiti wa ccm. Ni taasisi kwa ajili ya kukomoa vyama vya upinzani, ila si kwa ajili ya kusimamia sheria.
 
Kuna haja ya kudai iwe huru. Yani watendaji watoke kwenye vyama vyote vya siasa kama inaqezekana.

Ili linaweza kupunguza idadi ya vyama na kukawa na uwajibikaji.

Msajiri wa vyama kuteuluwa na mwenyekiti wa ccm inaleta ukakasi.
Ndio maana ofisi inashindwa kutenda haki dhidi yao ccm.
 
Katiba iliyopo inampa rais madaraka ya uungu mtu. Kwa sababu za kihistoria na katiba hii, ccm ndio inakuwa madarakani hata kwa shuruti. Ndio maana ccm hawako tayari katiba ibadilishwe, ama kugusa madaraka ya urais, kwani hapo ndio ilipo siri ya wao kukaa madarakani
 
Ina bidi tuanze kuwa na fikra mbadala, kuliko kuendelea kuwasikiliza ccm kila siku.

Hii ofisi haitoi haki kwa Zanzibar, ndio maana unaona Zanzibar hawaanzishi vyama vyso vya siasa.

Kanuni na sheria zikibadirishwa Zanzibar wakawa na uwezo kusajiri vyama vyao, haraka ccm inakufa Zanzibar.

Na ikifa Zanzibar huku bara itakuwa imekufa.
 
Back
Top Bottom