Uwepo wa hiyo ofisi ni mzigo na haina tija.hiyo ofisi ipo kwa ajili ya kuipigania ccm dhidi ya chamq pinzani kinachoonekama kua na nguvuKwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?
Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?
Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.
Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
Huyo mtungi nilimuona kwenye lile range rover lake la !zamani.nilitamani nimpige jiweKuanzia Mutungi na wasaidizi wake wote kwenye hiyo ofisi ya Msajili wa Vyama ni makada wa sisiemu, so hawawezi kuchukua hatua.
Na ndiyo sababu Reforms ni muhimu sana kwa sasa
Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?
Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?
Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.
Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
Unataka msajili amfokee muajiri wake? Wewe unaweza?Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?
Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?
Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.
Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
Lakini siyo yeye ni ofisi zinafokeana.Unataka msajili amfokee muajiri wake? Wewe unaweza?
Hahaha hatuogopi ndiyo maana tunawakataa wahuni.
Wanajua hamna cha kuwafanya. They are the top.Lakini siyo yeye ni ofisi zinafokeana.
Ofisi ya msajiri iifokee ccm. Siyo mutungi amfokee samia.
Hata wangefanya maigizo tuliyoyazoea kuweka precedent.
Wao wana mtumikia kafiri naona.Kuanzia Mutungi na wasaidizi wake wote kwenye hiyo ofisi ya Msajili wa Vyama ni makada wa sisiemu, so hawawezi kuchukua hatua.
Na ndiyo sababu Reforms ni muhimu sana kwa sasa
Yani kwasababu ccm ndio waliianzisha ofisi inashindwa kumuadhibu mama yao.Uwepo wa hiyo ofisi ni mzigo na haina tija.hiyo ofisi ipo kwa ajili ya kuipigania ccm dhidi ya chamq pinzani kinachoonekama kua na nguvu
Kuwapangia nyumba watoto wa watu kina MCHOMEOffice ya msajili ipo bize kupambana na CHADEMA kuinyima ruzuku, kujfingulia kesi za mchongo , kuwanunua baadhi ya makada kwenda Chauma, kuchochea Kesi ya uhaini Kwa. Lisu
Hahaha kumpiga jiwe ungemsaidia apewe jipya, bora hukumpiga.Huyo mtungi nilimuona kwenye lile range rover lake la !zamani.nilitamani nimpige jiwe
KweliHahaha kumpiga jiwe ungemsaidia apewe jipya, bora hukumpiga.
Kweli mfumo wa haki nchi hii umepinda.Wanajua hamna cha kuwafanya. They are the top.
Kwasababu mlezi wao ccm ndiye huwatuma kufanya hayo.Office ya msajili ipo bize kupambana na CHADEMA kuinyima ruzuku, kujfingulia kesi za mchongo , kuwanunua baadhi ya makada kwenda Chauma, kuchochea Kesi ya uhaini Kwa. Lisu
Huyo mchome unaweza kuta naye punga tu, mwanaume mzima unawekwaje hoteli na mwanaume mwenzako.Kuwapangia nyumba watoto wa watu kina MCHOME
Sikuizi ni ngumu kututofautisha. WalHuyo mchome unaweza kuta naye punga tu, mwanaume mzima unawekwaje hoteli na mwanaume mwenzako.