Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,366
- 1,770
Msajili hana Mamlaka ya kukisimamia CCM kwa sababu hakukisajili.Yeye aliundwa baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza.CCM ilikuwa tayari kipo.Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?
Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?
Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.
Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
Ungemtwanga Jiwe tu huyo baradhuli. Mutungi ni mtungi wa kutunza maovu ya CCM.Huyo mtungi nilimuona kwenye lile range rover lake la !zamani.nilitamani nimpige jiwe
Hahaha hatuogopi ndiyo maana tunawakataa wahuni.
Kama katiba ya ccm ilikiukwa tuna imani msajili atachukua hatua harakaKwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?
Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?
Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.
Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
Kuna mwanachama alilalamika wakamzima bila kumsikiliza.Kama katiba ya ccm ilikiukwa tuna imani msajili atachukua hatua haraka
Tunamuonesha kwa picha mnato na mjongeo.Nyani haoni kunduleeee!
Hiyo ofisi ni rubbishKwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?
Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?
Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.
Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
CCM wako juu ya sheria za msajiri, kwasababu ccm ndiye muasisi wa ofisi hiyo.Ungemtwanga Jiwe tu huyo baradhuli. Mutungi ni mtungi wa kutunza maovu ya CCM.
Msajili kapeleka hasira zote Kwa chademaKwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?
Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?
Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.
Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
wamekuwa busy kuisulubu chadema kuliko kusimamia vyama ilivyo visajiri.Hiyo ofisi ni rubbish
Ndio tunajaribu kumuamsha na kumuonyesha ya ccm ili aifungie au hata awape onyo.Msajili kapeleka hasira zote Kwa chadema
Ni ujinga kufanya kazi bila kufuata sheria na kanuni, bali maelekezo ya ccm nfio muongozo wao.Inasubiri maelekezo!
Tutaendelea kuwaonyesha ya kijani ili waamke.Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa haipo kwa ajili ya chama cha kijani ipo kwa ajili ya vyama vya Upinzani tu.
Hizo taasisi zote za kiutawala hufuata maagizo ya mwenyekiti wa ccm. Ni taasisi kwa ajili ya kukomoa vyama vya upinzani, ila si kwa ajili ya kusimamia sheria.Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?
Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?
Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.
Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
Kuna haja ya kudai iwe huru. Yani watendaji watoke kwenye vyama vyote vya siasa kama inaqezekana.Hizo taasisi zote za kiutawala hufuata maagizo ya mwenyekiti wa ccm. Ni taasisi kwa ajili ya kukomoa vyama vya upinzani, ila si kwa ajili ya kusimamia sheria.
Katiba iliyopo inampa rais madaraka ya uungu mtu. Kwa sababu za kihistoria na katiba hii, ccm ndio inakuwa madarakani hata kwa shuruti. Ndio maana ccm hawako tayari katiba ibadilishwe, ama kugusa madaraka ya urais, kwani hapo ndio ilipo siri ya wao kukaa madarakaniKuna haja ya kudai iwe huru. Yani watendaji watoke kwenye vyama vyote vya siasa kama inaqezekana.
Ili linaweza kupunguza idadi ya vyama na kukawa na uwajibikaji.
Msajiri wa vyama kuteuluwa na mwenyekiti wa ccm inaleta ukakasi.
Ndio maana ofisi inashindwa kutenda haki dhidi yao ccm.
Ina bidi tuanze kuwa na fikra mbadala, kuliko kuendelea kuwasikiliza ccm kila siku.Katiba iliyopo inampa rais madaraka ya uungu mtu. Kwa sababu za kihistoria na katiba hii, ccm ndio inakuwa madarakani hata kwa shuruti. Ndio maana ccm hawako tayari katiba ibadilishwe, ama kugusa madaraka ya urais, kwani hapo ndio ilipo siri ya wao kukaa madarakani