Msajili ni punguani!Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?
Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?
Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.
Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
Inabidi tuwakumbushe labda wataona kuna haja ya kutenda haki sawa kwa wote.Msajili ni punguani!
Kuwaki ni nini?Swali lako ni la "kiwaki"
REFORMS ni muhimu sana.✍️Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?
Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?
Wanaionea chadema hata inapokuwa haina makosa, lakini wanaiacha ccm hata inapofanya makosa ya wazi.
Uko wapi uwajibikaji wa ofisi ya Mutungi.
Hawawezi kukubali kwasababu yote haya ni kwa maslahi ya ccm.REFORMS ni muhimu sana.✍️
kingetheKuwaki ni nini?