Ikiwa CCM imemtengeneza Mbowe mpaka mkamuamini ni mpinzani je watashindwa kumtengeneza Lissu

Huwezi kuwadanganya watu wote muda wote wewe. Jifunze kusoma historia ili usiwe na akili ndogo hivi.

Utategemea intelligence mpaka lini?

So, uchaguzi wa mrema 1995 na ule wa Magufuli 2015 vilikuwa sawa au tofauti kulingana na mazingira na wakati?

Hao maintenance hawakuwepo? Mbona lowasa alipata kura ml 6 na kitu licha ya kuwa na cables? Za kuchakachua?

Utamtegemea msajili mpaka lini, mahakama na TISS?
Ona mapolisi walivyomwagwa wakiwa na silaha ndio intelligence ya CCM hii?
 
Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .

Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Acheni ujinga, Mbowe ametumikia chama kwa gharama kubwa sana, ya fedha na maisha. Huu ujinga wa kumuona Mbowe si mpinzani ni wa watu wafuata upepo wasio na upeo
 
Alikuja tu kubadilika baada ya kutoka gerezani ila kabla ha hapo alikuwa mwiba, japo kuna balozi mmoja alisema wakati wa JK baadhi ya wapinzani walikuwa 'wanaamsha dude' baadae wanaitwa na mkuu inafanyika 'namna’ ’wanapoa’. Ila JPM alivyokuja hakutaka kabisa hizo mambo. Lissu yupo vile vile na misimamo yake Jana, leo, hata kesho pesa kwake si motisha. Najaribu kumfananisha na mwanamapinduzi Ernesto "che" Guevara aliina aache kazi ya uwaziri kule Cuba ili aje Congo kusaidia mapambano dhidi ya mabeberu.
 
Unamjua aliyempiga Lissu riasasi?
 
Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .

Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
CCM aina intelligence yeyote zaidi yakutoa mpunga mrefu kwa watu wenye tamaa ya fedha kuliko utu.

Pili, CCM inaweza nunua watu kam wakina salim mwalimu, Mrema na wajinga wengine🚮 lakin siyo Lissu.

Kama ingekuwa rahisi kumnunua wangeweza kile kipindi cha uchaguzi wa ndani wa chadema, Lissu mara zote alikuwa akisema Abdul amemfata na Lissu alikuwa anashauriwa asigombe lakini wapi?
 
Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .

Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Hoja sio CCM bali Mfumo unapaswa kutengeneza Chama mbadala ili CCM ikitekwa na wahuni basi chama mbadala kichukuwe nchi na madhara yasiwepo. Huo ndio uzalendo na muache kuifanya CCM kama dini.
 
Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .

Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.

Tundu Lissu hana bei, hanunuliki ndio maana unaona kwamba Shetani Jiwe aliamua kummiminia marisasi mengi mengi ili kumuangamiza, lakini nayo pia ilishindikana na badala yake akafa yeye
 
Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .

Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Kumbe ccm ndio chama pekee chenye watu intelligence? No wonder nchi inazidi kuharibika.

Tunatakiwa kupata na kukabidhi nchi kwa chama chenye watu intelligent ndipo mambo yatabadilika, na tutaiokoa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom