Ikiwa CCM imemtengeneza Mbowe mpaka mkamuamini ni mpinzani je watashindwa kumtengeneza Lissu

Ikiwa CCM imemtengeneza Mbowe mpaka mkamuamini ni mpinzani je watashindwa kumtengeneza Lissu

Huwezi kuwadanganya watu wote muda wote wewe. Jifunze kusoma historia ili usiwe na akili ndogo hivi.
Utategemea intelligence mpaka lini?
So, uchaguzi wa mrema 1995 na ule wa Magufuli 2015 vilikuwa sawa au tofauti kulingana na mazingira na wakati?
Hao maintenance hawakuwepo? Mbona lowasa alipata kura ml 6 na kitu licha ya kuwa na cables? Za kuchakachua?
Utamtegemea msajili mpaka lini, mahakama na TISS?
Ona mapolisi walivyomwagwa wakiwa na silaha ndo intelligence ya ccm hii?
kesha shiba makande yake huyo naona umemuonesha choo kilipo
 
Lissu ni binadamu kama wengine so incase akikengeuka na ss tunampiga chin kwan shida iko wap ndo siasa zenyew hizo za maj taka.
 
Sampuli za binadamu kama akina Lissu huwa wanazaliwa Duniani kwa nadra sana.
Wewe ungepigwa marisasi yote hayo ya AK 47 upone then urudi tena ukouko? Vibaka tu wakikukosakosa huko salasala unakoishi unarudi Sinza kupanga tena unakimbia boma lako.

Kuna Dr mmoja alingolewa meno 3 tu kakimbia hadi wa leo hatujui aliko.
Lissu yupo sana - CDM ipo saana sasa wewe kama hutaki saga viwembe meza.
 
Uongo 2015 alinunulika Lowasa alimnunua iki apitishwe kuwa mgombea uraisi Chadema
Lowasa ni Lowasa, na Tundu Lissu ni Tundu Lissu!
Lowasa alikuwa ana bei ndio maana unaona kwamba alinunulika, lakini Tundu Lissu hana bei, ndio maana unaona kwamba hanunuliki. Huu ndio Ukweli mchungu
 
Watu ambao hamuwajui CCM ndio nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na CCM na bado mnafata .

CCM ndio chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
hawa ni "ruling party MOLES" nimekuwa ninahisi hivyo zaidi na nimeanza kuamini, siasa ni Abracadabra
 
Boss bei ya huyo unayemsema kwamba akae kimya yani aendelee na maisha yake hata ulaya ingeweza kuwa mabilioni ya fedha sasa fikiria bei yake angesema ahamie huko sisiem kabsa? kutokana na consistency yake ni wazi kuwa bei yake ni infinity

Anakosa bei kwa sababu hana shida na utajiri hana mali zozote hana makampuni sijui kama ana jumba la kifahari kwa sababu kwa namna alivokaa mda mrefu kwenye ubunge angeweza kuwa navyo angetaka
 
Watu ambao hamuwajui CCM ndio nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na CCM na bado mnafata .

CCM ndio chama pekee kina watu intelligent kuzidi chama chochote.
Kama kuna mtu anafikiri eti CCM walimtengeneza Mbowe kuwa mpinzani kibaraka hao watu fikra zao ni duni sana. Ndio CCM wanafanya hila nyingi sana na la ajabu zaidi ni Watanzania kama wewe kuendelea kushabikia CCM!!!
 
Watu ambao hamuwajui CCM ndio nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na CCM na bado mnafata .

CCM ndio chama pekee kina watu intelligent kuzidi chama chochote.
CCM hawawezi tengeneza mtu. Wao wananunua mchezaji aliyekamilika. Mfano Mbowe, Kafulila, silinde etc. Lissu Hana price tag sababu mkimnunua chama kitakufa
 
Back
Top Bottom