Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 4,217
- 5,907
umekunywa chai??Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
umekunywa chai??Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Chai au supu sisi hatunywi chai mkuu tushatoka hukoumekunywa chai??
Mbona hicho kichwa kilichopo ndani hakioneshi kama umeshafikia level ya supu.Chai au supu sisi hatunywi chai mkuu tushatoka huko
Na kama ni supu labda ya mapupu, anakaa vijiwe vya mambumbumbu wenzake wamemjaza uongo wa kitoto anatuletea hapa.Mbona hicho kichwa kilichopo ndani hakioneshi kama umeshafikia level ya supu.
Lisu amekataa ndio maana wameamua kumkomoaWatu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Hawajamkoa Ila arudishe hela za kikwete alizokula 2016-2017Lisu amekataa ndio maana wameamua kumkomoa
Unzadi kujiumbua kuwa wewe utambuzi wako ni mdogo mno jitahidi watu wasijue kuwa huna akili. Unatumia nguvu kubwa kueneza uongo ambao hata haujicheck.Hawajamkoa Ila arudishe hela za kikwete alizokula 2016-2017
Hamna uongo na kikao cha kumuua JP kilifanyika Belgium ni wajinga watamtetea LissuUnzadi kujiumbua kuwa wewe utambuzi wako ni mdogo mno jitahidi watu wasijue kuwa huna akili. Unatumia nguvu kubwa kueneza uongo ambao hata haujicheck.
Wakashindwa kuwakamata wasiojulikana mpaka leo?Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Umeshaanza kuhamisha magoli sasa, kuna uzi wa Britanica humu unaelezea mipango ya kumuua JPM hebu kaisome.Hamna uongo na kikao cha kumuua JP kilifanyika Belgium ni wajinga watamtetea Lissu
Lissu alipigwa na wanamtandao ambacho haujui ni niniWakashindwa kuwakamata wasiojulikana mpaka leo?
Hawajamkoa Ila arudishe hela za kikwete alizokula 2016-2017
Mbowe aliingiza wabunge na madiwani wengiWatu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Sasa wewe nimeanini mjinga ndo maana Mimi huwa nawacheka haujui Britannica ni I'd ya naniUmeshaanza kuhamisha magoli sasa, kuna uzi wa Britanica humu unaelezea mipango ya kumuua JPM hebu kaisome.
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kinene. Yaelekea unaka sana vijiwe vya mambumbumbu wenzako wanakujaza ujinga na wewe unakuja kuusambaza humu.Lissu alipigwa na wanamtandao ambacho haujui ni nini
Wamtengeneze kwa risasi na kumnyima mishahara yote ya kibunge baada ya kumpiga risasi ?? Huo ni uuaji na sio kumtengeneza.Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Uongo 2015 alinunulika Lowasa alimnunua iki apitishwe kuwa mgombea uraisi ChademaTundu Lissu hana bei, hanunuliki
Kama Una appreciate I'd yangu kongwe na kudharau hii wewe ni naniJambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kinene. Yaelekea unaka sana vijiwe vya mambumbumbu wenzako wanakujaza ujinga na wewe unakuja kuusambaza humu.
UNataka nifanye name calling ili nipigwe ban? Nimezungumzia uzi wa Britannica baada ya wewe kuhamisha mada . Tuliza akili yako dogo humpati mtu kwa hizo chai zako chukuchuku.Sasa wewe nimeanini mjinga ndo maana Mimi huwa nawacheka haujui Britannica ni I'd ya nani
Kama umeamua kujilipua mwenyewe hizo ni shida zako ila uongo wako wa kitoto hapa haununuliki.Kama Una appreciate I'd yangu kongwe na kudharau hii wewe ni nani