Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 925
Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
..."intelligents/intelligent beings"...(?)Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Acheni ujinga, Mbowe ametumikia chama kwa gharama kubwa sana, ya fedha na maisha. Huu ujinga wa kumuona Mbowe si mpinzani ni wa watu wafuata upepo wasio na upeoWatu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Punguza ujuaji wa kishamba hivi unawaona watu wote humu ni vilaza ila wewe tu ndiye unajua kila kitu?Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Watu wa humu ni vilaza kweliPunguza ujuaji wa kishamba hivi unawaona watu wote humu ni vilaza ila wewe tu ndiye unajua kila kitu?
Alikuja tu kubadilika baada ya kutoka gerezani ila kabla ha hapo alikuwa mwiba, japo kuna balozi mmoja alisema wakati wa JK baadhi ya wapinzani walikuwa 'wanaamsha dude' baadae wanaitwa na mkuu inafanyika 'namna’ ’wanapoa’. Ila JPM alivyokuja hakutaka kabisa hizo mambo. Lissu yupo vile vile na misimamo yake Jana, leo, hata kesho pesa kwake si motisha. Najaribu kumfananisha na mwanamapinduzi Ernesto "che" Guevara aliina aache kazi ya uwaziri kule Cuba ili aje Congo kusaidia mapambano dhidi ya mabeberu.Acheni ujinga, Mbowe ametumikia chama kwa gharama kubwa sana, ya fedha na maisha. Huu ujinga wa kumuona Mbowe si mpinzani ni wa watu wafuata upepo wasio na upeo
We nawe Toka asbh una andika vitu visivo eleweka Jana uli lewa wanzuki!?Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Wewe fala tu hizo theories zako washirikishe watoto wenzako hapo Lumumba.Watu wa humu ni vilaza kweli
Unamjua aliyempiga Lissu riasasi?Alikuja tu kubadilika baada ya kutoka gerezani ila kabla ha hapo alikuwa mwiba, japo kuna balozi mmoja alisema wakati wa JK baadhi ya wapinzani walikuwa 'wanaamsha dude' baadae wanaitwa na mkuu inafanyika 'namna’ ’wanapoa’. Ila JPM alivyokuja hakutaka kabisa hizo mambo. Lissu yupo vile vile na misimamo yake Jana, leo, hata kesho pesa kwake si motisha. Najaribu kumfananisha na mwanamapinduzi Ernesto "che" Guevara aliina aache kazi ya uwaziri kule Cuba ili aje Congo kusaidia mapambano dhidi ya mabeberu.
Hamtaki ukweli usemweWewe fala tu hizo theories zako washirikishe watoto wenzako hapo Lumumba.
Yuko pale Makumbusho na kwa sasa akili yake haiko sawa .Unamjua aliyempiga Lissu riasasi?
CCM aina intelligence yeyote zaidi yakutoa mpunga mrefu kwa watu wenye tamaa ya fedha kuliko utu.Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Hoja sio CCM bali Mfumo unapaswa kutengeneza Chama mbadala ili CCM ikitekwa na wahuni basi chama mbadala kichukuwe nchi na madhara yasiwepo. Huo ndio uzalendo na muache kuifanya CCM kama dini.Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Kumbe ccm ndio chama pekee chenye watu intelligence? No wonder nchi inazidi kuharibika.Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .
Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.