Ikiwa CCM imemtengeneza Mbowe mpaka mkamuamini ni mpinzani je watashindwa kumtengeneza Lissu

Unzadi kujiumbua kuwa wewe utambuzi wako ni mdogo mno jitahidi watu wasijue kuwa huna akili. Unatumia nguvu kubwa kueneza uongo ambao hata haujicheck.
Hamna uongo na kikao cha kumuua JP kilifanyika Belgium ni wajinga watamtetea Lissu
 
Hawajamkoa Ila arudishe hela za kikwete alizokula 2016-2017

Hapa ndio unakosaga tofauti ya wabongo Phd, Masters, Bachelor, Six, fomfoo na la saba, tunakua wote kama watoto wa baba na mama mmoja. Anyway ndio reflection ya jamii yetu kenge...
 
Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .

Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Mbowe aliingiza wabunge na madiwani wengi

Dikteta Lisu kaamua kuwa safari hii marufuku CHADEMA kuingiza mbunge au diwani hata mmoja

Kaanza kwa kuingiza wabunge na mafiwani zero
 
Lissu alipigwa na wanamtandao ambacho haujui ni nini
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kinene. Yaelekea unaka sana vijiwe vya mambumbumbu wenzako wanakujaza ujinga na wewe unakuja kuusambaza humu.
 
Watu ambao hamuwajui Ccm ndo nyie mmekuwa mkitengenezewa upinzani fake na Ccm na bado mnafata .

Ccm ndo chama pekee kina watu intelligence kuzidi chama chochote.
Wamtengeneze kwa risasi na kumnyima mishahara yote ya kibunge baada ya kumpiga risasi ?? Huo ni uuaji na sio kumtengeneza.
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kinene. Yaelekea unaka sana vijiwe vya mambumbumbu wenzako wanakujaza ujinga na wewe unakuja kuusambaza humu.
Kama Una appreciate I'd yangu kongwe na kudharau hii wewe ni nani
 
Sasa wewe nimeanini mjinga ndo maana Mimi huwa nawacheka haujui Britannica ni I'd ya nani
UNataka nifanye name calling ili nipigwe ban? Nimezungumzia uzi wa Britannica baada ya wewe kuhamisha mada . Tuliza akili yako dogo humpati mtu kwa hizo chai zako chukuchuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…