Ikiwa hawa watakuwa Wagombea Urais wa Tanzania utamchagua nani?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
 
Wewe ni nani kati ya hao nikuchague!
 
Wote bure! all are useless
 
Kuna vijana kama kina Anthony Mtaka na Ally Happy.
Hizi ni damu ambazo nchii tumetunukiwa sema kwa sababu ya fitna mmoja alitolewa kwenye system na mwengine sidhani kama atadumu.
 
Hii umeleta kutuchokoza na kutuongezea hasira au!?
 
Kwa hao uliotaja ni Antony Mtaka au Gwajiboy
 
Hamna kitu hum, usitupotezee mda,
 
Kifasihi,nimekuelewa.
 
Ungeweka poll ingerahisisha watu wachague
 
Hakuna Rais hapo kwa sasa, kuna rahisi tu.
 
ntamchagua mwenye uzoefu na kazi ya Urais
 
Acha kuota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…