Ikiwa hawa watakuwa Wagombea Urais wa Tanzania utamchagua nani?

Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Ni wagombea kwa tiketi ya ccm ? Nitawapigia wapinzani
 
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Hakuna mwenye uwezo wa kuwa rais kwenye list ya haya majina,bali wanaweza pita kwa mbeleko tu
 
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Wezi watupu hao. Sijui umefikiria nini maana ukweli watanzania hawawazii hao hata mmoja.
 
Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Ongezea na watoto wa kike wa vigogo:
Halima Bulembo.
Mariam Ditopile.
Ms .........Sokoine.
Jokate Mwegelo.
 
Kwa nini umewaweka kwenye list wale tu wasiofaa? Aheri ungechanganya, kwenye orodha ukaweka japo wawili wenye kufaa.

Uliowaweka hapo, hata nafasi walizo nazo sasa hawazimudu.

Nchi ambayo ipo nyuma sana na yenye matatizo mengi, kuiondoa mahali ilipo inahitaji vipngozi wenye uwezo mkubwa sana, siyo hao ambao ni average na below average minds.
 
List yako ni ya Mawaziri Endelevu ila sio level ya Urais.

Hii nchi Rais hatabirikagi hata siku 1.
 
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Ongeza ..Lucas Mwasambwanda & FaizaMbweha..ili usibanie wigo ya chaguo
 
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Makongoro??? Nape? Ulioandika hapo juu presidential material hawafiki 3
 
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Wananchi ni lazima watanichagua mimi tu
 
Back
Top Bottom