Ikiwa hawa watakuwa Wagombea Urais wa Tanzania utamchagua nani?

Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Ungemuweka hata Dotto Biteko hao ulowaweka hamna mpya
 
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Hizo zote takataka
 
Hao wote wanatakiwa kuwa gerezani kwa uhujumu uchumi
 
Kweli Mkuu, tumechoka kutambaa.
Tunataka tuanze kusimama, tutembee, tukimbie na baadaye tupae kabisa.
Tanzania ni nchi tajiri sana.
Wanaoturudisha nyuma ni viongozi wasio waadilifu na wasio na uzalendo pia kama aliokuwa nao Hayati JPM
Shida iliyopo ni suala la watu wenye maslahi binafsi kupandikiza viongozi wasio na maono na uadilifu
 
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Hapo Ridhiwani wala hastahili kuwepo na sidhani hata kama yeye mwenyewe atataka mchakato wa kupambanishwa na waliosoma, sijuwi ataongea nini mbele yao. Hapo Rais ni Mwinyi tu, hakuna mwingine.
 
Kuna vijana kama kina Anthony Mtaka na Ally Happy.
Hizi ni damu ambazo nchii tumetunukiwa sema kwa sababu ya fitna mmoja alitolewa kwenye system na mwengine sidhani kama atadumu.
Ally Happi Mnyaturu mshamba sana
 
Kuna vijana kama kina Anthony Mtaka na Ally Happy.
Hizi ni damu ambazo nchii tumetunukiwa sema kwa sababu ya fitna mmoja alitolewa kwenye system na mwengine sidhani kama atadumu.
Ally Happi?! Nchi hii tutakuwa tumefilisika rasmi.

Kwanza ana kiburi, jeuri na majivuno. Japo hana rekodi chafu za ukatili ila bado naona anafaa kuwekwa kapu moja na Daudi Bashite pamoja ya yule mhuni wa Hai aliyekuwa gerezani jina limenitoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Bora tuwape nchi Waingereeza kamili. Vyote vilaza.
 
Back
Top Bottom