Ikiwa hawa watakuwa Wagombea Urais wa Tanzania utamchagua nani?

Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Uko serious kweli!hapo kidogo namwona mchengerwa wengine wote tupa kapuni
 
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Bila komred polepole na yule mwenzake dokta kuwepo hao wengine Wote ni viazi tu
 
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
List ingekuwa tamu ungemuweka na Humphrey Polepole...
 
Tafuta mwenye kaliba ya JPM ili nchi iendelee kwa spidi
Kweli Mkuu, tumechoka kutambaa.
Tunataka tuanze kusimama, tutembee, tukimbie na baadaye tupae kabisa.
Tanzania ni nchi tajiri sana.
Wanaoturudisha nyuma ni viongozi wasio waadilifu na wasio na uzalendo pia kama aliokuwa nao Hayati JPM
 
Kabla ya kusema chochote Mkatoliki ananafasi zaidi , so ambaye ni Mkatoliki sio wa kwenda kanisani, mwenye misingi ya seminary ndiye mwenye nafasi
 
Kuna vijana kama kina Anthony Mtaka na Ally Happy.
Hizi ni damu ambazo nchii tumetunukiwa sema kwa sababu ya fitna mmoja alitolewa kwenye system na mwengine sidhani kama atadumu.
Kwa tuliosoma udsm kipindi hicho huyo Ally Hapi alikua kigeugeu balaa
 
Kabla ya kusema chochote Mkatoliki ananafasi zaidi , so ambaye ni Mkatoliki sio wa kwenda kanisani, mwenye misingi ya seminary ndiye mwenye nafasi
Wewe una matatizo sana, Watu wanajadili uongozi wa kisiasa wewe unaleta habari za katoliki umesikia tunapendekeza Wagombea Upapa hapa? Punguza hisia za Udini.
 
Kuna vijana kama kina Anthony Mtaka na Ally Happy.
Hizi ni damu ambazo nchii tumetunukiwa sema kwa sababu ya fitna mmoja alitolewa kwenye system na mwengine sidhani kama atadumu.
Nidhamu hawana hao
 
Muongeze Yahaya Ally Mhata Mtu na nusu invisible man.
 
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.

Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.

Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Huyo Abdul sasa, ndiye mtu pekee asiyefamika cheo chake aliyemuwakilisha Rais nchini Uganda. Hafai hata kwenye list hiyo.
Hapo cjaona wa kuchagua.
 
Kwanini isiwe wewe? Au kuna watu wameletwa kuwa marais na ukoo zao?

Ukijiweka na wewe, nitakuchagua
 
Back
Top Bottom