Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Ungemuweka hata Dotto Biteko hao ulowaweka hamna mpyaKatika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.
Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.
Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Hizo zote takatakaKatika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.
Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.
Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Hao wote wanatakiwa kuwa gerezani kwa uhujumu uchumiKatika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.
Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.
Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Shida iliyopo ni suala la watu wenye maslahi binafsi kupandikiza viongozi wasio na maono na uadilifuKweli Mkuu, tumechoka kutambaa.
Tunataka tuanze kusimama, tutembee, tukimbie na baadaye tupae kabisa.
Tanzania ni nchi tajiri sana.
Wanaoturudisha nyuma ni viongozi wasio waadilifu na wasio na uzalendo pia kama aliokuwa nao Hayati JPM
Hapo Ridhiwani wala hastahili kuwepo na sidhani hata kama yeye mwenyewe atataka mchakato wa kupambanishwa na waliosoma, sijuwi ataongea nini mbele yao. Hapo Rais ni Mwinyi tu, hakuna mwingine.Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.
Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote walizorithi toka kwa ima wazazi au wakwe zao.
Nao ni kama ifuatavyo:
Abdul Hafidh Samia
Adam Malima
Mohamed Mchengerwa,
January Makamba,
Hussein Mwinyi
RIdhiwan Kikwete
Godfrey Pinda
Fred Lowassa
Omar Kigoda
Nape Nnauye
Makongoro Nyerere
Ally Happi Mnyaturu mshamba sanaKuna vijana kama kina Anthony Mtaka na Ally Happy.
Hizi ni damu ambazo nchii tumetunukiwa sema kwa sababu ya fitna mmoja alitolewa kwenye system na mwengine sidhani kama atadumu.
Ally Happi?! Nchi hii tutakuwa tumefilisika rasmi.Kuna vijana kama kina Anthony Mtaka na Ally Happy.
Hizi ni damu ambazo nchii tumetunukiwa sema kwa sababu ya fitna mmoja alitolewa kwenye system na mwengine sidhani kama atadumu.
Bora tuwape nchi Waingereeza kamili. Vyote vilaza.Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.