Ikiwa Rais ndiye anatoa pesa zake kwa maendeleo ya nchi, Serikali inapeleka wapi kodi zetu?

Kodi zote ni hela za rais.
 
Kukusanya kodi kwa lazima halafu akitoa eti iwe pesa z raisi
 
Tunamshukuru SSH kwa kutuletea mgao wa umeme.

pia tunamshukuru kwa kuuza bandari.

tunamshukuru kuruhusu watendaji wake wajilie raslimali zetu bila ya woga.
Hiyo line ya mwisho ina backup kwenye ripoti za CAG
 
Nadhani nimuhimu Latina ijayo iwe nakipengele kinachopiga marufufuku hii kasumba!
Na pikengele kitamke bayana kuwa — NIMARUFUKU KWA KIONGOZI YEYOTE WA UMMA KUANZIA RAISI NA TAASISI ZAKE ZOTE KUTUMIA CHOCHOTE KILICHOPO HAZINA, MIFUKO YA UMMA, HATA MISAADA kwa jina ama cheo alichonacho KWA NAMNA YOYOTE YA KUTAKA KUONESHA KUWA YEYE KALIONEA HURUMA TAIFA AMA KUJIJENGA KISIASA!
BALI KWA FEDHA YOYOTE ITAKAYOTOKA ITAMKWE KUWA - BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO LIMEIDHINISHA KIASI HIKI,KWA MIRADI HII, UTEKELEZAJI UTAANZA MUDA HUSIKA NA ENDANDAPO UTEKELEZAJI HAUTATOKEA AMA KUTO KURIDHISHA BASI RAIA WA YEYOTE WA NCHI HII ANAHAKI YA KUFUNGUA MASHTAKA KATIKA CHOMBO CHOCHOTE CHA HAKI KATIKA NCHI HII! NA ENDAPO KUTATOKEA USITAJI WA KUMUWAJIBISHA MUHUSIKA, BASI RAIA WANAHAKI YA KUANDAMANA KWA AMANI MPAKA MAKAO MAKUU YA IKULU, BUNGE , TAASISI YA KUZUIA RUSHWA , POLISI!
NA LENGO NI KUHAKIKISHA UWAJIBISHWAJI UNATENDEKA, NA HUKUMU ZISOMWE REDIONI, LUNINGANI PAMOJA NA MACHAPISHO YA SERIKALI
 
Huu ujinga wa kusema 'rais ametoa' uliasisiwa na chawa wa shetani.
 
Pesa za serikali zinapelekwa kwenye mfuko wa Rais ambae ndie custodian wa pesa zote then anazitoa kwenye miradi mbalimbali.

Punguza ujinga ndugu na kujitoa ufahamu,hata vitani kamanda ndio husifiwa ila uliwahi muona mstari wa mbele wa vita?
Kwa hiyo inapotumiwa vibaya tumlaumu raisi? Rejea repoti za CAG
 
ChoiceVariable njoo uelimike hapa
 
Pesa za serikali zinapelekwa kwenye mfuko wa Rais ambae ndie custodian wa pesa zote then anazitoa kwenye miradi mbalimbali.

Punguza ujinga ndugu na kujitoa ufahamu,hata vitani kamanda ndio husifiwa ila uliwahi muona mstari wa mbele wa vita?
Kwa hiyo akauntanti wa kampuni yangu ndio custodian wa fedha zote za kampuni na hivyo malipo yote anayafanya kutoka mfukoni kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…