Toyota Mkonga.Ulitaka anunue IST?
Viongozi watangulize maslah ya wananchi mbele kuliko binafsi.Imagine Mkuu anagawa 700M wakati hapo hapo WM wake anatoa number ya MPESA wananchi tuchangie maafa ya Kariakoo. Ila aisee bongo kuwaelewa wanasiasa unahitaji PhD ya uchawa.
Zaidi wananchi tunashangilia.
Alisemaga Le mutuz....(RIP), viongozi wetu ni reflection ya wananchi!
Naafiki kununuliwa gari.Lissu hajanunuliwa kachangiwa fedha za kununulia gari sababu ya hali yake baada ya kupigwa risasi 36 na utawala wa CCM
Nothing lasts forever,Kwa uoga na mfimo ya hii nchi ni ndoto za alinacha Mpinzani kuwa Rais,Ni rahisi wewe ukajiunga na CCM ukawa Rais lakini sio mpinzani kuwa Rais.
So,hoja yako haona mashiko maana Lisu akiwa Chadema hawezi kuwa Rais.
Gari aliyopigwa nayo risasi ilikuwa aina Gani na Bei Gani?Hakuna sehemu Lisu amenunuliwa V8 na wananchi isipokuwa wamemchangia hela ya kununulia gari tena ni hela kdg 117M
Gari aliyopigwa nayo risasi ilikuwa aina Gani na Bei Gani?Hakuna sehemu Lisu amenunuliwa V8 na wananchi isipokuwa wamemchangia hela ya kununulia gari tena ni hela kdg 117M
Lissu anajua tunashindia mlo mmoja, halafu bado anatulazimisha tutoe hela ili yeye atembee huku amekaa. Hana huruma kabisaSalaam, Shalom!!
Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.
NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏.
V8 ni Gari ya kawaida sana kwa viongozi wanaotoka familia maskiniTuna Mpango wa kumchagua atuongoze nchini,
Hivyo tungependa kujua ikiwa atafuta matumizi ya ma v8 Kwa viongozi ya ayofuja Kodi za wananchi.
Anastahili kwasasa na hakuomba kuchangiwa in the first place.. Alikuwa yuko tayari kutumia gari yake ya zamaniSalaam, Shalom!!
Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.
NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏.
Hata kula kwa irefu wa kamba atafuta.Salaam, Shalom!!
Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.
NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏.
Selfishness Afrika ni jadi yetu !Salaam, Shalom!!
Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.
NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏.
Mama yetu mwenye msafara wa hayohayo 200 ana huruma?Lissu anajua tunashindia mlo mmoja, halafu bado anatulazimisha tutoe hela ili yeye atembee huku amekaa. Hana huruma kabisa
Umeanza kujichanganya na kuhamisha magoli. Ishu ni yeye kuchangiwa hela ya kununulia gari, bakia hapo hapo.Kwahiyo akichangiwa Fedha akaenda kujenga ghorofa utamwelewa?
Na wala siyo mpenda michezo bali analazimisha kukubalika kwa vile watanganyika wanapenda sana mchezo wa mpira, anacheza tu na akili za watu.Ndiyo mjue Rais wetu kipaumbele chaken ni michezo
Lissu awe na utu, huwezi kuchangisha watanzania masikini milioni 500 ili upate starehe ya kusafiriMama yetu mwenye msafara wa hayohayo 200 ana huruma?
Unajua bei double cabin mpya?Gari aliyopigwa nayo risasi ilikuwa aina Gani na Bei Gani?
Na ikiwa wananchi wanaamua kumnunulia gari kama aliyokuwa nayo, wachangie sh ngapi?
Ndipo ujue hiyo pesa haijatosha Bado kununua gari ya Lissu.
Ingekuwa imetosha, angetangaza kufunga zoezi la uchangiaji.
Sahihi kabisaAnastahili kwasasa na hakuomba kuchangiwa in the first place.. Alikuwa yuko tayari kutumia gari yake ya zamani
Sahihi kabisa anajua wajinga wengi wanapenda mpira badala ya nchi yao, anaiba mali za umma atakavyoNa wala siyo mpenda michezo bali analazimisha kukubalika kwa vile watanganyika wanapenda sana mchezo wa mpira, anacheza tu na akili za watu.