MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Anhaa Nyafwili hatujaonana bwana toka mwaka uanze kheri ya mwaka mpya ndugu yangu .
Umesema ukweli kabisa , mimi na ndugu zangu nawakwepa kama ukoma japo wanahisi nina hela ila sipendi kuwahudumia.
Nimeamua kuwa na namba special ninayoweka status daily za vitu vya gharama picha kali nikila bata na hizo namba nimewapa mpaka ndugu wa kitongoji kwahivyo huko nyumbani mitaa ya uswahilini Dasalama wanatangaziana yule mwamba ana hela chafu sana .
Mara wengine wanasema nimezizalisha vizuri hela za urithi yaani ni purukushani ila simu zao napokea kwa mood tu .
Nimewaigizia vya kutosha mpaka nawaonea huruma kwa jinsi wanavyohisi mimi ndiye tajiri wa ukoo kumbe niko Mbeya nakunywa spirit bar ili nikawahudumie wajawazito .[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app