Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

Kweli mkuu maswala ya hela yanaleta hisia hasi sana lkn kipindi mkiwa wadogo ww nanduguzo mnakua pamoja sana nakunakua na muunganiko mkubwa sana.
• Ni kweli mkuu, upendo huwa ni wa juu sana, mda mwingine ukikumbuka namna mlivyokuwa mnaishi maisha simple yaliyo jaa upendo usio na kikomo, Moyo unapata ubaridi sana 🤗.

• Utengano na ubaguzi huaza kujichomoza ikifika hatua ya utafutaji kwa kujitegemea, ambapo utakutana na watu wenye misingi tofauti ambo wanaweza kukushauri njia za utafutaji zuri au mbaya.
Hapa ndo unaweza kuwa (a) adui wa familia au (b) Rafiki wa familia
 
Sidhani kama ni kweli unayoyasema hapa,ubaguzi miongoni mwa wanafamilia nisuala la kizazi cha leo,ubaguzi unatokana na mwenye nacho na asiyekuwa nacho ni mkubwa mno.Mungu tu atusaidie
Amini hilo na kuambia
 
Ukikaa na watu masikini utakuwa masikini zaidi na ukikaa na watu matajiri ni rahisi na wee kuwa tajiri maana maongezi mengi itakuwa ni kupata michongo ya hela
Comment zuri mkuu, Shida ya hawa matajiri, wakijua kwenye orodha wapo na maskini, huwa hawaongelei masuala ya michongo, Zaidi zaidi watapiga story za Mwl. Nyerere.
 
Comment zuri mkuu, Shida ya hawa matajiri, wakijua kwenye orodha wapo na maskini, huwa hawaongelei masuala ya michongo, Zaidi zaidi watapiga story za Mwl. Nyerere.
😄😄😄 Maana wakipiga story za michongo una cha kuchangia.
 
Back
Top Bottom