Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
- Thread starter
- #261
• Ni kweli mkuu, upendo huwa ni wa juu sana, mda mwingine ukikumbuka namna mlivyokuwa mnaishi maisha simple yaliyo jaa upendo usio na kikomo, Moyo unapata ubaridi sana 🤗.Kweli mkuu maswala ya hela yanaleta hisia hasi sana lkn kipindi mkiwa wadogo ww nanduguzo mnakua pamoja sana nakunakua na muunganiko mkubwa sana.
• Utengano na ubaguzi huaza kujichomoza ikifika hatua ya utafutaji kwa kujitegemea, ambapo utakutana na watu wenye misingi tofauti ambo wanaweza kukushauri njia za utafutaji zuri au mbaya.
Hapa ndo unaweza kuwa (a) adui wa familia au (b) Rafiki wa familia