Kwenu bora apewe DP Milele?Kwa hiyo bandari ijiendeshe kwa soko la ndani tu?
Wajamaa mna akili za nzi kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenu bora apewe DP Milele?Kwa hiyo bandari ijiendeshe kwa soko la ndani tu?
Wajamaa mna akili za nzi kwa kweli
Utapeli uko wapi?Hilo halifanyi nchi kujifunga kwenye mkataba wa kitapeli.
Tulia mzee usiniletee ligi hapa, sina muda wa kupoteza fuatilia hoja zote humu utaujua utapeli ulipo.Utapeli uko wapi?
Dpw ulimuona wapi, au ukiona picha tu umeridhika.Kama wewe unamtukuza Mbowe na vihera vya urithi sisi tuna dhambi gani kumtukuza DP world kwa ufanisi na uzoefu alionao wa kuendesha bandari na usafirishaji wa mizigo duniani?
Hpn ila hiwezi kukoza kbsaa Congo ,Zambia no wadai wa kudumu kweny hiyl bandariKwa hiyo bandari ijiendeshe kwa soko la ndani tu?
Wajamaa mna akili za nzi kwa kweli
Kwa hiyo bandari ijiendeshe kwa soko la ndani tu?
Wajamaa mna akili za nzi kwa kweli
Tenda ya Bwawa la Nyerere iliwahi kutangazwa? Uliwahi kuuliza?..Ni kweli bandari yetu ina matatizo sugu.
..Je, DP ndio kampuni pekee yenye uwezo wa kutatua matatizo ya bandari ya Dsm?
..Dp ndio kampuni bora duniani au kuna nyingine?
..Kwanini tusitangaze ZABUNI YA KIMATAIFA ili makampuni mbalimbali yaombe kazi na Tanzania ichague kampuni tunayoitaka?
..Halafu hakuna haja ya BUNGE letu kubadili sheria za nchi ili kuleta kampuni ya kurekebisha bandari yetu.
DPW ndiye mwenye mzigo wote uliopo DRC na Rwanda. Na ndiye mwenye kuutoa huko akauleta bandarini na kuupeleka sokoni...Ni kweli bandari yetu ina matatizo sugu.
..Je, DP ndio kampuni pekee yenye uwezo wa kutatua matatizo ya bandari ya Dsm?
..Dp ndio kampuni bora duniani au kuna nyingine?
..Kwanini tusitangaze ZABUNI YA KIMATAIFA ili makampuni mbalimbali yaombe kazi na Tanzania ichague kampuni tunayoitaka?
..Halafu hakuna haja ya BUNGE letu kubadili sheria za nchi ili kuleta kampuni ya kurekebisha bandari yetu.
Wapi imeandikwa anapewa milele?Kwenu bora apewe DP Milele?
Tenda ya Bwawa la Nyerere iliwahi kutangazwa? Uliwahi kuuliza?
Tenda ya Ujenzi wa SGR Dar - Morogoro iliwahi kutangazwa? Uliwahi kuuliza?
Kwa nini huko kote hukuwahi kuuliza? Kama uliamini kunafanyika kwa maslahi ya Taifa kwa nini hutaki kuamini hapa pia inafanyika kwa maslahi ya Taifa?
Sawasawa...Nimetoa mfano mdogo tu, pili Zambi, Burundi na Congo ni wateja wa kudumu.
Tunataka tuingie ubia na hao DP wenu na sio kuwauzia...msitudanganye muuze bandari
Kweli kabisa...sgr, stieglers gorge, ununuzi wa midege, ujenzi dodoma, kote huko nimehoji na kusisitiza kuwe na uwazi, na maslahi ya nchi yazingatiwe.
..hivi majuzi CAG amesema kuna ufisadi ktk mkataba wa SGR. Tatizo Watanzania kutokufuatilia mambo mengi ya msingi.
Between 1994 and 1995 the AMI began discussions on an "honorable end" to the management agreement, in 1996 Tanzania took over the sites.
DPW ndiye mwenye mzigo wote uliopo DRC na Rwanda. Na ndiye mwenye kuutoa huko akauleta bandarini na kuupeleka sokoni.
Logistic supply chain yote ameikamata huyu mwarabu. Rais Tshisekedi alikuja nchini na siku hiyo hiyo akaenda kuikagua bandari.
JPM ziara yake ya kwanza kabisa alikwenda Rwanda akaonana na Kagame akapewa ngombe kadhaa walionona, wajuaji tukasema madikteta wawili wanatafutana kisiasa kumbe ni kuweka sawa suala zima la kuuleta hiyo mzigo kutoka Rwanda.
Baada ya ziara ile ikajengwa reli ya SGR na JPM akapinga kuiona ikienda DRC akapambana mpaka imekwenda Kigali, ili kuuchukua mzigo na kuiwahi hii tenda ya DPW.
Haya yote yanafanyika kimkakati tangu 2015, hivyo Samia anaendeleza kile ambacho JPM iwapo angekuwa hai leo hii angekuwa anakifanya.
Na tumeamua tu kuwa wabaguzi. JPM angekuwa amepewa siku za kuishi mpaka muda huu angeshamaliza hii shughuli na hakuna yoyote ambaye angehoji wala kuleta fyokofyoko.
Tumemuona mwanamama wa kizanzibari tena mpenda demokrasia ndio kila mtu sasa hivi anafungua mdomo wake eti kupinga uwekezaji.
Sijaliona kosa la Samia so far kwenye hili suala. Ninauona upungufu wa uelewa miongoni mwa wadau husika...msijifiche kwenye JINSIA.
..msijifiche kwenye UZANZIBARI.
..Magufuli angeuficha mkataba.
..mwenye ujasiri wa kuuzungumzia angeumizwa vibaya.
..Samia nadhani hana moyo wa ukatili kama wa Magufuli.
..Bado kuna nafasi kwa Samia kutambua makosa yaliyotokea na KUJISAHIHISHA.
..Sisi Watanzania, haswa wenye mamlaka, ni wagumu sana kukubali makosa na kuyarekebisha.
Sijaliona kosa la Samia so far kwenye hili suala. Ninauona upungufu wa uelewa miongoni mwa wadau husika.
Ninaziona hujuma za chini kwa chini kutoka kwa makampuni yenye kufaidika na uzembe uliopo bandarini kwa sasa, wakiwalipa watu mbalimbali maarufu ili waende kwenye maradio na TV na kuanza kuponda biashara nzima ili waendelee kuuteka mjadala na kwa kufanya hivyo kukwamisha biashara nzima.
Hakuna anayejificha kwa jinsia yake, ingawa ni ukweli kwamba upole wake ndio chanzo cha huu mkwamo wote.