Iko hatari ya bandari kubaki bandari bila mizigo

Iko hatari ya bandari kubaki bandari bila mizigo

Ukiingia kwenye mtandao wa SPLASH 247.COM utaona makampuni ya usafirishaji wa mizigo duniani yanavyoshidana kumiliki pia bandari maeneo mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa kila mwenye mizigo atapeleka kwenye bandari zake tu labda alazimike kufanya pale ambapo hatakuwa na namna.







Bora zije Meli mbili zinazolipa Kodi. Kuliko Meli mía zinazokuja bure bola kulipia ushuru
 
Back
Top Bottom