Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwa mfano mechi ya Simba na Yanga isichezwe tena. Kati ya Simba na Yanga, mbele ya safari Yanga ndiyo itatamani hiyo mechi ichezwe tena hata bila ya mashabiki uwanjani.
Kwenye mechi 7 zilizobakia za Yanga, Yanga watafungwa mechi mbili na kutoa droo Moja.
Kwa upande wa Simba kati ya mechi 7 zilizobakia, atafungwa mechi Moja na kutoa droo moja.
Kufuatana na utofauti wa pointi za Simba na Yanga, itafika wakati Yanga watatamani kucheza na Simba angalau wapate hata pointi Moja.
Tunza hii risiti.