Iko siku Yanga italilia kucheza na Simba huu mchezo wanaogomea

Iko siku Yanga italilia kucheza na Simba huu mchezo wanaogomea

Mbona umetopoloisha hapo. Ni kama umetumia hisabati kuhalalisha hoja yangu.

Hivi 71+ 3 inakuwa ngapi na kama hizo pointi 3 zitatokana na kuifunga Simba huoni mantiki ya hoja yangu?

Nimeweka mechi 7 badala ya 8 kwa kuwa Yanga mechi na Simba hawatacheza. Na kama bodi ya ligi haitauweka tena huo mchezo kwenye ratiba.

Kumbuka bodi ya ligi isipouweka huo mchezo kwenye ratiba Simba wakienda CAS wanapewa pointi 3 za dezo.
Yanga hawata hitaji kucheza wao wanataka point 3 za mezani
 
Hivi akitokea mtu akakuuliza kati ya Yanga na simba ni timu gani iligomea/kususia mchezo namba 184 uliopangwa kuchezwa tarehe 8/3/2025, utasema ni Yanga, au Simba? Au unaongelea mchezo gani?
Ni Yanga kwa kuleta vihoja nje ya Kanuni zinazosimamia Mpira..Na zaidi Ukitaka kujua Nani aligomea mchezo angalia asiependa mechi ipangiwe tarehe...Anataka points 3 za mezani ambazo hazikufuata taratibu za mchezo
 
Mechi ilishapangwa kuchezwa tarehe 8! Na sababu za kususia kwa timu simba kucheza hiyo mechi, zilikuwa hazina mashiko! Na pia sababu za bodi ya ligi kukubali kuahirisha hiyo mechi kwa kuhofia simba ingeshushwa daraja kama wasingetokea uwanjani ile tarehe 8, nazo zilikuwa ni za kijinga.
 
Back
Top Bottom