Mbona umetopoloisha hapo. Ni kama umetumia hisabati kuhalalisha hoja yangu.
Hivi 71+ 3 inakuwa ngapi na kama hizo pointi 3 zitatokana na kuifunga Simba huoni mantiki ya hoja yangu?
Nimeweka mechi 7 badala ya 8 kwa kuwa Yanga mechi na Simba hawatacheza. Na kama bodi ya ligi haitauweka tena huo mchezo kwenye ratiba.
Kumbuka bodi ya ligi isipouweka huo mchezo kwenye ratiba Simba wakienda CAS wanapewa pointi 3 za dezo.