Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Waswahili na kujipendekeza kote baraza lenye mawaziri 23 waislamu ni waratu tu
Haijawahi kutokea tangu Uhuru wa nchi hii
Wengi wanatoka kannda pendwa....so tegemea mengi malalamiko ni mengi pia
 
Shukuru Kawambwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kuna Waislamu wanne tu kati ya hao mawaziri Sijaona waziri Mzanzibar hata zile wizara nne za muungano !!
 
Imehitimisha masuala yote yanayohusiana na uchaguzi.Serikali imeundwa na sasa tusubirie maelekezo.Kila la heri wote waliochaguliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…