Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mkuu si huyu huyu jiwe aliyewanunua Madiwani na Wabunge na baadhi kuwapa vyeo ndani ya Serikali? Au kuna jiwe mwingine? Chadema wangapi kwenye hili Baraza Haramu la Mawaziri? Wafia chama wangapi unadhani watakuwa wamenuna?
....Baraza ni zuri...limebalance mahitaji,malengo na kasi ya AWAMU HII.....

Sasa CCM ina wafia chama zaidi ya milioni 10....wanaweza kuteuliwa wote?!!
 
William Lukuvi Waziri wa Ardhi Nyumba Maendeleo na Makazi.
 
Bashe na kigwa out
 
Kwa haraka nusu ya Mawaziri ni watu ya Kanda ya ziwa na karibu 90% ni Wakristu. CCM Oyee😂🏃🏃🏃
Halafu nawe unawaza kuna siku utakabidhiwa Tanzania kama kiongozi, kwa fikira hii, hata "unywe gongo ya mapapai" huwezi kuwa!! Umejitakia mwenyewe laana hii. Hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…