Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mambo ya kiapo kushika biblia msaafu boshen tuWakatumikie kiapo chao kwa haki
ni kuchanganya siasa na diniHivi kuapisha ni moja ya kazi kwenye job description yake? Maana naona ndiyo kazi inayomkeep busy kuliko zote
Serikali ndo inatoa nauli kwa wagonjwa, jaribu kuja na argument za kisomi mkuuKila siku anaapaisha tu akitoka hapo anaenda kugawa mamilion kwa wachezaji wa ndondo huku Moshi Hai Kuna mama kafia ndani kwa kukosa nauli ya kumpeleka hospital.
Lucas mwashambwa haamini kwamba huyu mama ana uwezo mdogo sana. Alitakiwa awepo nyumbani anacheza na wajukuuKila siku anaapaisha tu akitoka hapo anaenda kugawa mamilion kwa wachezaji wa ndondo huku Moshi Hai Kuna mama kafia ndani kwa kukosa nauli ya kumpeleka hospital.
Maisha kwa wananchi wake ni magumu mno, usichoelewa ni kipi hapo?Serikali ndo inatoa nauli kwa wagonjwa, jaribu kuja na argument za kisomi mkuu
Ugumu wa maisha yake na sherehe za kuapishwa viongozi vinauhusiano gani, acha kua punguani weweMaisha kwa wananchi wake ni magumu mno, usichoelewa ni kipi hapo?
Umepiga pabaya🤣🤣🤣